Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumeshaongoza tatu bila jumapili tuna mechi na Southampton kulikuwa na haja gani ya kuendelea kuwaweka kwenye risk wachezaji wetu muhimu?
 
Ole alipewa kazi ya kuirudisha identity ya United.

Inabidi tuifahamu identity ya United kwanza. Iliasisiwa lini na nani?

Halafu tuangalie kama anachofanya Ole ni kurudisha identity ya United.
 
Ole alipewa kazi ya kuirudisha identity ya United.

Inabidi tuifahamu identity ya United kwanza. Iliasisiwa lini na nani?

Halafu tuangalie kama anachofanya Ole ni kurudisha identity ya United.
Mafanikio:
Ole amefanikiwa kuifanya utd sio shamba la bibi kwa agents na players in term of transfers and salaries (refer signing zake).

Changamoto:
Ameshindwa kuziadhibu team zenye uwezo wa kawaida kama ilivyokua kawaida yetu pia amefail kutengeza clear identity of playing style.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Ole alipewa kazi ya kuirudisha identity ya United.

Inabidi tuifahamu identity ya United kwanza. Iliasisiwa lini na nani?

Halafu tuangalie kama anachofanya Ole ni kurudisha identity ya United.
Identity ya man u ni attacking football,, na sio kupaki basi kama morinho..

Tunahitaji watu wenye kasi na njaa ya magoli..

Martial left... Cavan 9 ,,rashford au greenwood right wing.

Na aachane na mfumo wa Fred na tommy pamoja,, double defensive midifilders..
 
Tumeshaongoza tatu bila jumapili tuna mechi na Southampton kulikuwa na haja gani ya kuendelea kuwaweka kwenye risk wachezaji wetu muhimu?
Mkuu wachezaji wananunuliwa ili wacheze,,
Kumbuka hata mazoezini pia wanapata majeruhi.
Ile up front ya man u inacheza vile kwa Mara ya kwanza..
Ilitakiwa awape game times nyingi ili wazoeane zaidi kimfumo.

Ni kweli tulikuwa tunaongoza na ball possession ilifika man u 71%
Istanbul 29%../ kabla ya sub.

--- uliona kilichotokea baada ya sub zile za kipuuzi?
Man u 51%
Istanbul 49%
Tusifanye upuuzi huu kwa timu zinazojielewa..

Mpira ni magoli,,, hata tungefunga 10 isingekuwa tatizo... Na kuridhika.
 
Captain Mentality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…