mimi nataka kujua hiyo double attacking ndiyo kitu gani siyo kujimwambafai sina nia wala sababu ya kufanya hivyo.Mkuu umetaka kuelezwa double attacking midifilders ni ipi?na wanapangwane?
Nikakuwekea kikosi,,
Na image ya man u yenye aina ya formation pia nikakuwekea,,
Sasa kuniambiya huyo ni mfumo gani ulimaanisha nn?
Au uonekane unafahamu zaidi kuliko wengine?.
channel namba ngapi?Dstv ndo mwenye licence ya kuonyesha UEFA huku sub-saharan countries..So wewe kaa karibu na Supersport football/football plus
Formation ni hiyo mkuu,,kama una lolote muulize olé.mimi nataka kujua hiyo double attacking ndiyo kitu gani siyo kujimwambafai sina nia wala sababu ya kufanya hivyo.
sasa hiyo inabadili nini kwa kile tunachokifanya kila mechi ?Formation ni hiyo mkuu,,kama una lolote muulize olé.View attachment 1634118
Kuna siku ulishaona kikosi kama hicho kilianza?sasa hiyo inabadili nini kwa kile tunachokifanya kila mechi ?
mh leo sijui ngoja tusubiriKikosi kizuri..
Ngoja tuone kama tutacheza vizuri leo
GGMU
ni mara nyingi tu na hakijawahi kuwa na impact yoyoteKuna siku ulishaona kikosi kama hicho kilianza?
ni mara nyingi tu na hakijawahi kuwa na impact yoyoteKuna siku ulishaona kikosi kama hicho kilianza?
222channel namba ngapi?
Hofu ya nini mkuu..hawa waturuki ni wakutuogopesha hivi?mh leo sijui ngoja tusubiri
mwenye link tafadhali
mpira unachezwa katika uwanja sawa na idadi sawa ya wachezaji. 4 2 3 1 vs 4 1 4 1, no mctomminay am worried.Hofu ya nini mkuu..hawa waturuki ni wakutuogopesha hivi?
Mkuu kwa kikosi hiki cha Leo tusiposhinda,,ni mara nyingi tu na hakijawahi kuwa na impact yoyote