Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Moyes needs to balance his style...being too defensive by making Carrick and Fellaini as deeper mids in United's half isn't working in this game.

He should bring Nani/Kagawa for Young and Javier for Danny. He should let Carrick or Fellaini go forward as AM..
Naona makocha mmeanza kuwa wengi...teh teh twh teh
 
Oops. Pamoja na kwamba Manu United wana wachezaji 1I plus referee uwanjani lakini uwingi wao hauwasadii.

Manu United hierarchy inabidi wamuombe Alex Ferguson to come out of his retirement kuisaidia hii timu inayoonekana kutokuwa na plan B.

Marouane Fellaini worth £27.5 million!?. Hizi ndizo mechi za kupima dhamani ya pesa iliyotumika na kwa matumizi hayo. Hiki ni kichekesho!

Kuna uwezekano mkubwa wa Wayne Rooney kupata second yellow card. He's frustrated young man.Manu United, Changes, changes, changes.
 
David needs to make changes quickly...this could be a rout for City..

Tom looks to be coming in...
 
ImageUploadedByJamiiForums1379865959.803591.jpg .....
"Mnawafuga bundi nyie, .....heheheh!"
 
Man u kama yanga tuuuuj hahhahahaha

Jamaniii wanatia huruma.
 
4-0 City...it looks like it is all over.



Hivi Moya amejiandaa na gunia la magoli .... .... .... .... Nzi njoo bana changia basi .... .. 4 mtungi up to now stoke wanawacheka maana waliwatoa kamasi Mancs
 
Back
Top Bottom