Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Pogba naskia amesema hafurahii maisha ya OT kwa sasa..gametime hapati
Sasa kwa ile perfomance ni kocha gani atakuwa anampa dakika 90?
He can f.ck leave the club
Hata January watu wakileta ofa ni bora asepe tuAlianza kuongea kocha wake wa timu ya Taifa, na yeye ndo akafatia.
Naona akimaliza huu msimu ataondoka.
Jinga kweli lile bora liuzwe tu.Hata January watu wakileta ofa ni bora asepe tu
Huyu mbutuka ni wakuuzwa tu, haina jinsi.Pogba naskia amesema hafurahii maisha ya OT kwa sasa..gametime hapati
Sasa kwa ile perfomance ni kocha gani atakuwa anampa dakika 90?
He can f.ck leave the club
Hapo greenwood aanzie bench ,,muweke martial kushoto na rashford kulia,,Against WBA my First XI
De Gea
AWB Lindelof MaguireTelles[if fit]
VdB Fred Bruno
Greenwood Cavani Rashford
Westbromwich wabovu tu,itashangaza sana tukishindwa kuchukua point tatu kiulaini kabisa
Not for sale...Uzeni Pogba nunueni Grealish.
Not for sale??..WTF!!!Not for sale...
Pogba ni special
sio 2022 ni 2021..au tayari tushafufua ule mwaka mmoja ambao tunaoAuzwe tu huyo ,,,,!! Huwez kuwa mkubwa zaidi ya club ,,,,!
Pia contract Yake inaisha 2022, atademand mshahara mkubwa zaidi ya wa Sasa , kiwango Cha kawaida ,, aende zake Turin huko ,, au tufanye swap deal na Madrid , watupe varane na hela , tuwagee pogba
Not for sale...
Pogba ni special
Kuna web moja nimesoma inasema 2020,,, definitely Ni kile kigengele Cha opt ya mwaka mmoja !sio 2022 ni 2021..au tayari tushafufua ule mwaka mmoja ambao tunao
weza kujadili na kuongeza?
Sorry 2022Kuna web moja nimesoma inasema 2020,,, definitely Ni kile kigengele Cha opt ya mwaka mmoja !
Nadhani ole pengine anamtumia tofauti,,.★Mimi mwenyewe namuona ni Special kweli kwa ujinga anao fanya akiwa uwanjani hakuna mtu mwingine anaemfuata, Chaajabu bila kujali analipwa mshahara mkubwa Tofauti na kiwango chake cha Sasa anashindwa hata kujitahidi kuonyesha basi yupo na wenzake afu anaanza kulalamika hapati Game time yani unapewa kila kitu mpaka unakosa chakusingizia siku moja atakuja aseme anakatazwa kuingia Dressing room★
Nadhani ole pengine anamtumia tofauti,,.
Still pogba ni mchezaji mzr sana,,tatizo ni kwamba timu nzima ya man u,,ilipoteza Kiwango ,,
Sasa kila mchezaji anaanza kurudisha ubora wake,aliokuwa nao before.
Tumpe muda pogba,,
Ukianzia wbs,Bruno,, martial,,shaw, degea,,magwea,lindleof,,rashford,, nk wote hao walikuwa shit after cvd lock down,, na sasa wameanza kuonyesha makali.
Pogba bado ni kiungo bora kabisa,,