Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Thomas Muller anacheza position hiyo hiyo anayocheza Bruno na De Bruyne ila kama unaangalia mpira kwa sababu ya betting huwezi kuona ubora wa huyo kiumbe.
Kuna watu mkuu mchezaji akiwa Hana flair kwao sio bora.

Kwangu mimi Muller yupo same level kama Wayne Rooney, akicheza kama striker anakupa Goli 20 ama zaidi kwa msimu na akicheza kama playmaker anakupa Assist 20. Na wanafanya hivi kwa consistency miaka kibao na sio kubahatisha msimu mmoja.
 
Watu wanaangalia mpira kwajili ya betting tu.

Muller ni mchezaji level ya hao kina Rooney sema hapewi hiyo heshima kwa sababu ya kutokuzungumzwa sana na Media.
 
Kwahiyo mkuu kisababishi cha hawa madogo kuwa na long runs za inconsistency ni squad depth? au ni mimi sijakuelewa vizuri
Ndio depth inachangia mchezaji akiwa hayupo kwenye form anatakiwa aanze nje. Mfano sasa hivi pogba alizingua mechi za mwanzo na combo ya Fred na Mc tominay imeclick vizuri, wameanza hao jamaa mechi karibia zote na Pogba ni sub.

Ila hatuna Luxury hio kwa Rash na Martial sababu sub zao tuna Downgrade,
 
★ Manchester United have approached Cristiano Ronaldo about returning to the club next season.

Ronaldo is reportedly considering the move and Juventus would then have to sanction any transfer for the attacker, who is contracted in Turin until 2022. ★

#GGMU


manutd |
 
Sasa una Ansley Maitland Nails mtu kama bruno wa nini! Usichoelewa mchezaji anaweza kuwa mzuri ktk timu fulani na a kaonekana hovyo kťk timu nyingine,
Inategemeana na

Falsafa ya timu
Aina ya kocha
Aina ya wachezaji wanaomzunguka
N. K


Na ndio maana hiyo hali hutokea, anaweza akazomewa timu A ila akashangiliwwa timu B

Mf. PAUL POGBA
 
Anakuja kuchukua mafao

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
No.4 should be No.1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…