Ss bundes liga unafananisha na epl mkuu?
Acha bangiUna masihara wewe, bruno mfananishe na kina Toddy Cańtwel au Emmiliano Bueńdia huko na bado anaachwa kwa mbali,
Watu wanaongelea uwezo binafsi wewe unaleta mafanikio, unajua Man. Utd tukiongelea mafanikio ya timu huwa tunasemwa tunakimbilia historia na hivyo timu yetu mnai-consider kama timu ndogo at the same time kupitia uwezo wake wa sasa ila imekuja ishu ya Bruno na Luka umekimbilia kuwalinganisha kwa mafanikio na kuacha uwezo ambao ndiyo kipimo chenu pendwa cha ubora ila nashangaa hapa umebadili direction ili tu upate conclusion kuwa Luka ni bora kuliko Bruno. 😂
Hahahaaa duuhh, kweli kila mtu na muono wake️ The 10 best playmakers in the world according to FourFourTwo:
10. Jack Grealish
9. Christian Eriksen
8. Martin Odegaard
7. Giovanni Reyna
6. Papu Gomez
5. Kai Havertz
4. Bruno Fernandes
3. James Rodriguez
2. Kevin De Bruyne
1. Thomas Muller
Do you agree with this?
Amenishangaza sn, hzo tunzo binafsi wakati mwingine huwa zinaendana na bahati, Iniesta na ufundi wake wote hajawahi kupata ballon dor lkn Michael Owen anayo.Watu wanaongelea uwezo binafsi wewe unaleta mafanikio, unajua Man. Utd tukiongelea mafanikio ya timu huwa tunasemwa tunakimbilia historia na hivyo timu yetu mnai-consider kama timu ndogo at the same time kupitia uwezo wake wa sasa ila imekuja ishu ya Bruno na Luka umekimbilia kuwalinganisha kwa mafanikio na kuacha uwezo ambao ndiyo kipimo chenu pendwa cha ubora ila nashangaa hapa umebadili direction ili tu upate conclusion kuwa Luka ni bora kuliko Bruno.
Jaribu kuifanya nyeusi iwe nyeusi na nyeupe iwe nyeupe.
Bruno labda kupiga penaty ila hafiki kwa Fei totoUnazungumzia mafanikio au uwezo binafsi? Kwa mataji anamzidi mpk dinho, hata Iniesta pia anaweza mzidi ila vp hao watu anawakaribia kwa uwezo?
Huwa nashindwa kuelewa kwanini mashabiki wengi wa soka huwa wana chuki binafsi na wachezaji wa timu pinzani. Mnajichelewesha sana kufurahia mchezo wa soka. Huyuhuyu Bruno akija kwenye timu yako utaimba siku nzima ubora wake. Mashabiki wengine eti wanafurahia hadi wachezaji wa timu fulani kuumia. Acheni huo ushamba, kama hujui unachotaka kuongea kaa kimya!Bruno labda kupiga penaty ila hafiki kwa Fei toto
Sawa.Bruno labda kupiga penaty ila hafiki kwa Fei toto
Hii list sikubaliani nayo kwakuwa iko based on statistics, performance ya mchezaji inaweza kuwa chini kutokana na factor nyingi: kikosi, mfumo wa uchezaji na aina ya wachezaji.️ The 10 best playmakers in the world according to FourFourTwo:
10. Jack Grealish
9. Christian Eriksen
8. Martin Odegaard
7. Giovanni Reyna
6. Papu Gomez
5. Kai Havertz
4. Bruno Fernandes
3. James Rodriguez
2. Kevin De Bruyne
1. Thomas Muller
Do you agree with this?
PumbaHii list sikubaliani nayo kwakuwa iko based on statistics, performance ya mchezaji inaweza kuwa chini kutokana na factor nyingi: kikosi, mfumo wa uchezaji na aina ya wachezaji.
Imagine Bruno awe na front-line ya;
SANE, LEWANDOWSKI, GNABRY
au
REUS, HAALAND, SANCHO
Can you imagine atatoa pasi ngapi za mwisho!?
Bruno hamfikii ata Mukoko TeacherHuwa nashindwa kuelewa kwanini mashabiki wengi wa soka huwa wana chuki binafsi na wachezaji wa timu pinzani. Mnajichelewesha sana kufurahia mchezo wa soka. Huyuhuyu Bruno akija kwenye timu yako utaimba siku nzima ubora wake. Mashabiki wengine eti wanafurahia hadi wachezaji wa timu fulani kuumia. Acheni huo ushamba, kama hujui unachotaka kuongea kaa kimya!
Eric yule ni too much bora na LUKE SHAW★Anatak kumzidi eric ★
Kwa nini useme Modric wa sasa na unajua anaelekea kustaafu soka.Alafu ckia nikwambie usibadili mada tafadhali, issue ni kwamba je Bruno wa ss na Modric wa ss nani mkali na co kwmb simuheshimu Modric, unaanza kuweka tunzo alizopata, hizo zinategemea na alipokuwepo tm ilikuwa nzuri, ningemuona noma sana angeanza kuzichukua hzo tunzo tangu yupo England, btw ni mchezaji bora but Bruno ni bora zaidi yake kwa ss it's a matter of time na timu pia km itambeba Bruno.
Mkuu fuatilia mtiririko wa mada ilipotoka utaelewa kwanini nasema Modric wa ss.Kwa nini useme Modric wa sasa na unajua anaelekea kustaafu soka.
Unapomrank mtu na mtu usimkate katikati mlinganishe kwa Uwezo wake wote toka umeanza kumfahamu.
Umeona ss, ilikupasa ufuatilie mtiririko ulikotokea.Sioni sababu ya kuwalinganisha hawa watu..
Modric sio kamzidi Bruno tu bali hakuna kiungo ambae anamkaribia kwa hawa wanaocheza kwa sasa.
Tuache kuficha akili.
Bruno labda kupiga penaty ila hafiki kwa Fei toto
Tatizo la kwanza hatuna depth, wachezaji hao hao wanacheza wakiwa kwenye form ama hata wasipokuwa kwenye form, pia ukosefu wa winga wa kulia unachangia hao jamaa kuwa predictable.Martial na Rashford kuna muda unawaangalia unasema hawa ni world class..ila mechi nne mbele wanacheza kama watoto wa League 2 ya England..Pia sijui wanadekezwa kimtindo..
Kwahiyo mkuu kisababishi cha hawa madogo kuwa na long runs za inconsistency ni squad depth? au ni mimi sijakuelewa vizuriTatizo la kwanza hatuna depth, wachezaji hao hao wanacheza wakiwa kwenye form ama hata wasipokuwa kwenye form, pia ukosefu wa winga wa kulia unachangia hao jamaa kuwa predictable.
Hata Neymar angekua united asingekuwa na utofauti sana na rashford.