Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nafikiri ni vyema mwalimu akampush mmoja awe anaoperate juu kidogo ya mwenzake ili kuondoa hili gape linalokuwepo kati yao na Bruno.
baadhi ya mechi ni bora turudishe combination ya matic na fred kama ilivyokuwa mwanzoni mwa mwaka huu.
both wana uwezo wa kutembea na mipira.
======
kufeli kwa 4-2-3-1 ya pogba ni anguko kwa pogba mwenyewe na donny van der beek
mbaya sana kwa sababu wote hao siwaoni kama wana uwezo wa kumuondoa bruno pale namba 10
 
Wataweza kucheza kwa rotation au kuingia kama substitutions kwenye maeneo mengine.

Ofcourse Partnership ya Matic na Fred siyo mbaya pia maana hata mechi walizocheza pamoja walifanya vizuri.
 
Nafikiri Man united hawana maisha marefu na Pogba tena hasa ukizingatia uwepo wa Bruno na kununuliwa kwa Donny kumeondoa dependency ya Pogba iliyokuwepo nyuma.

Na hata timu inavyopangawa sasa hivi siyo kumzunguka Pogba tena bali kumzunguka Fernandez kwa sababu ni key man wetu kwenye squad.

Inconsistency ya Pogba imepelekea Mwalimu kutokumwamini tena kama mchezaji muhimu kikosini.

With Donny nafikri ataendelea kuwa back up player kwa misimu mingi ijayo labda Bruno ashuke kiwango.
 
Then hiyo position watabaki Donny na Bruno
fred + donny
kwa baadhi ya game pia si mbaya.
fred ni mzuri kwenye ulinzi, ana win mipira kwa haraka zaidi, ana takwimu nzuri za kumiliki mpira ndio maana hata mabeki wetu wanamuamini tunapofanya buildup kuanzia nyuma hususani anapokuwa chini ya presha.

donny si defensively kama scott lakini ana chembe chembe fulani za kiulinzi kama alizonazo ander herrera, isitoshe uwezo wake wa kupiga pasi ni mkubwa zaidi ya scott.

nafikiri ni mwalimu mwenyewe na mipango yake ashindwe kufikia lengo stahiki, kwa upande wa midfield naamini tupo level moja na team nyenginezo
 
  1. Fernandes has now been directly involved in 23 goals in 21 Premier League appearances, averaging a goal every 76.6 minutes.
  2. In all competition, he has scored 18 goals and provided 13 assists in 33 appearances for Ole Gunnar Solskjaer’s side.
  3. The Portugal international has registered 10 Premier League assists since making his Premier League debut, more than any other Premier League midfielder.
  4. Since Fernandes made his debut in February 2020, Mohamed Salah is the only player to score more than his 13 Premier League goals.
 
Hiyo inaweza kuwa option nzuri pia maana Donny mwenyewe alisema anacheza kama box to box midfielder but anaprefer kucheza namba ten role.

Uzuri wake ni long range passing na passing accuracy yake iko juu sana kwenye mechi nyingi alizocheza.

Kingine anatembeza mpira kwa haraka kuliko Scot hivyo kwenye baadhi ya mechi ambazo hazina intensity kubwa sana anaweza kuanza kwenye hiyo double pivot.
 
  1. Despite being called a penalty merchant, he has scored seven non-penalty league goals since making his debut. No Premier League midfielder has scored more in that period.
  2. With 10 goals and five assists, Fernandes has more goal involvements in his first 10 Premier League away matches than any player in the competition’s history.
  3. His efforts against Everton were acknowledged with the Man of the Match award – the fifth time Fernandes has been given the accolade since moving to England. No player has received more during the period.
 
Kingine anatembeza mpira kwa haraka kuliko Scot hivyo kwenye baadhi ya mechi ambazo hazina intensity kubwa sana anaweza kuanza kwenye hiyo double pivot.
swadakta
unapokuwa na mchezaji mfano wa donny ndipo inapokuja ile dhana nzima ya squad depth.
si lazima uwe na kundi kubwa la wachezaji kwa nafasi tofauti.

kazi kwake ole
 
Huyu jamaa akikaa misimu mingi united na akaendelea na form yake atavunja record nyingi sana epl.

An alpha Male footballer
 
swadakta
unapokuwa na mchezaji mfano wa donny ndipo inapokuja ile dhana nzima ya squad depth.
si lazima uwe na kundi kubwa la wachezaji kwa nafasi tofauti.

kazi kwake ole
Kwa squad depth tuliyonayo kwa sasa Ole hana kisingizio tena.

Labda right wing lakini anaweza kutafuta namna ya kuexploit hiyo space kupata magoli.

Msimu uliopita idara nyingine zote za timu zilikuwa na goal contribution ndogo sana.

Msimu huu anao watu wakumfanyia kazi yoyote anayoitaka kwa mfumo wowote anaoutaka.

Tunasubiri timu inyanyue kwapa siyo kuishia kwenye hatua ya semi finals tu.
 
What a player
nimempa jina la stuntman.
bruno anachukiza sana kama utakuwa unaangalia mpira kwa dakika 90 ila bruno anafurahisha kama utakuwa unaangalia mpira live score

bruno ametusogeza mbele sana tokea aje united na ni jambo la kustaajabisha sana kushuhudia klabu ikiwa na mchezaji mmoja tu mwenye ladha kama ya kwake (tunawahitaji bruno wengi zaidi)

bruno hapendi kufanya vitendo vilaini ambavyo wengi wao wanapendelea kuvifanya mara kwa mara,
sehemu ambayo utapendelea mchezaji apige short pass ili timu imilike mpira na kufanya buildup basi yeye atapiga long pass isiyo na uhakika kwa mshambuliaji.
ndio maana mwalimu wetu amebaki kumuangalia tu na matendo yake, anajua fika anayetake risks anaweza kuzalisha matokeo chanya kuliko yule anayepiga square pass

bruno ni maverick.
nimebaki tu namuangalia na matendo yake (nimechoka kutuka televisheni)
 
swadakta
unapokuwa na mchezaji mfano wa donny ndipo inapokuja ile dhana nzima ya squad depth.
si lazima uwe na kundi kubwa la wachezaji kwa nafasi tofauti.

kazi kwake ole
Kwa squad depth tuliyonayo kwa sasa Ole hana kisingizio tena.

Labda right wing lakini anaweza kutafuta namna ya kuexploit hiyo space kupata magoli.

Msimu uliopita idara nyingine zote za timu zilikuwa na goal contribution ndogo sana.

Msimu huu anao watu wakumfanyia kazi yoyote anayoitaka kwa mfumo wowote anaoutaka.

Tunasubiri timu inyanyue kwapa siyo kuishia kwenye hatua ya semi finals tu.
 
Yuko positive sana na kila kitu hata kwenye hali ngumu still akihojiwa anaonyesha mambo yatakuwa sawa.
 
Labda right wing lakini anaweza kutafuta namna ya kuexploit hiyo space kupata magoli.
fullback wan bissaka
huwa namkubuka philip lahm na huduma yake ya kila upande.
hatuwezi kumtumia luke shaw au telles upande wa kulia kwa baadhi ya mechi.

kwanini winga wa kushoto anaweza kucheza winga wa kulia lakini beki ashindwe?
 
Telles anacheza both flanks.

Ole asingemuondoa Dalot kisha akambadilisha kuwa winga.

Pale Ac Milan tayari ameshatoa assist za kutosha na kufunga.

Yule alikuwa tiba ya ugonjwa wetu kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…