Mkuu kama kesho una appointment na demu kesho niuzie kabisa hiyo game, maana hutoboi,Kusema kweli mimi game za United kama nina appointment na demu baada mechi huwa nacounsel maana tulifungwa nitaishia kuuza hiyo mechi na mimi.
It pains sana kufungwa hasa na timu usiyoitarajia halafu unacheza mpira mbaya kuliko hata watoto wa shule.
Simba watanifutia machunguMkuu kama kesho una appointment na demu kesho niuzie kabisa hiyo game, maana hutoboi,
Calvert Lewin ana jambo lake kesho
Mzee hakuna 33th kuna 33rd★#OTD |
in 1986,
Alex Ferguson joined #MUFC.
6, NOV, 1986
Greatest ever.
#33th_anniversary★
#Legend
manutd | View attachment 1620922View attachment 1620923
Mpira mzuri? Pochettino? Basi atapakia wapi?Nataka Ole aondke ila sikubali Poch aje.
He is too average. Atakupa mpira mzuri ila hatakupa makombe.
Mzee hakuna 33th kuna 33rd
Ha ha ha haMauricio akija timu itafufuka kidogo kisha itakua Tottenham
Ha ha ha haMauricio akija timu itafufuka kidogo kisha itakua Tottenham
Ha ha haUnataka aje nani?
Giggs au Kaze
Jamaa katolewa nusu fainali tatu yani pale ndio nikamkumbuka morinyo fastaOle watu wanamtetea tu humu lakini kiuhalisia hakuna anachoarchieve hata kimoja maana kwa mda aliokaa Ole Van gaal alishabeba kombe, Mou pia alishabeba ila yeye sioni dalili hata ya carabao yani kiufupi jamaa hawezi kutupa hayo mafanikio.
Van gaal alifukuzwa lakini mimi nasema yule mzee ndo alipaswa kupewa muda maana hata mabadiliko ya kiuchezaji yalionekana ingawa shida ikawa hatufungi droo nyingi sana sasa ole uuuuups hakuna mpira mzuri hakuna nini tunaenda tu.
Sijajua why wanasema Poch ni average nadhani anaweza kuwa kocha mzuri tu kuliko Ole sababu tott haikuwa mbaya chini yake pia haikuwa na World class players kama ilivyo united, anaweza kuwa na jambo lake zuri tu pale OT lakini imani yangu na Ole imeisha kabisa imerudi zero+ hahaha.
Hakuna kocha pale wa kawaida sana, kama Manchester United anaifanya hivi itakuwaje akipewa stock cityJamaa katolewa nusu fainali tatu yani pale ndio nikamkumbuka morinyo fasta
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app