Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaha has been amekosa namba akakosa timu. Amerudishwa uwanjani. Martial hajapiga shot on target tangu msimu uanze Cavani amepiga?

Fernandes? Game nzima kapiga pasi 25. Kipa wa Arsenal, Leno, kapiga pasi 33.

Elneny anacheza vizuri kuliko Pogba na siyo regular starter kwetu.

Scot McTominay au siyo?

 
Hizi habari za Pochetino huwa zinaibuka kila siku Man united akipoteza Mechi na huenda hazina ukweli wowote zaidi ya kutaka kupata mauzo ya magazeti tu.
Mkuu hizi habari nimepenyezewa na aliyeko jikoni.

Tusubiri mapishi yawe tayari tule.
 
Hata mimi namuona hivyo ukiniambia kocha ambaye walau anaweza kufaa kuifundisha United ni kocha wa Southampton kwa walioko EPL.

Miaka hii ni changamoto sana kupata kocha na atoe majibu ndani ya muda.

Siku hizi timu zinafanya uwekezaji mkubwa sana na zinakuwa zinataka majibu ndani ya muda mfupi, kitu ambacho ni kubahatisha, mwisho wa siku inakuwa ni kazi ya kutimuwa timuwa makocha.
 
Cavan nae bado mchezaji?
Mara 100 nketiah kuliko huyo babu Cavan, usidanganyike na jina. Yule hakuna kitu sasa hivi

Umemtaja pogba, inamaana umesahau nani alimficha yule pogba, na viungo wote wa man u pale kati


Tulikua na Ozil ambae Bruno wawe 5 ndio wanafikia kiwango na pass killer za ozil
Lakin ozil anakula mbao pale emirate

Alafu mbona haujataja Maguire? Ambae ndio mlinzi mkuu
 
LIVERPOOL DEFENSE THAT PLAYED AGAINST ATLANTA.

Gomez £3.5m
Arnold £0
R. Williams £0
Robertson £8
TOTAL = £11.5m
ATLANTA 0-5 LIVERPOOL

MANCHESTER UNITED DEFENSE THAT PLAYED AGAINST BASAKSEHIR

Maguire £87
Tuanzebe £0
Shaw £30
Wan Bissaka £55m
TOTAL = 172m
BASAKSEHIR 2-1 MANCHESTER UNITED
 
Mpaka hapa asiyegundua tatizo ni kocha basi tena. Ole hana mbinu hata umpe Messi,Ronaldo n.k
 
Ni kweli lakini hata makocha vichwa maji ni wengi sana kibaya zaidi hata wachezaji vichwa maji ni wengi pia.

Sasa wakikutana kocha kichwa maji na wachezaji wengi vichwa maji ndiyo haya ya kina Ole na wachezaji wake.

Wakishinda mechi moja wanaamini na zinanzokuja watashinda tu kwa kuwa wao ni Man united.
 

Na siku hizi mpira unachezwa na makocha zaidi kuliko wachezaji wenyewe.
 
Ulitaka nitaje mchezaji kwenye position ambaye kwa mara ya mwisho mlikuwa nae Tony Adam's?
 
Na siku hizi mpira unachezwa na makocha zaidi kuliko wachezaji wenyewe.
Sure, laissez faire Attitude ya Ole huwa inakera sana hasa timu inapokuwa inacheza vibaya.

Nafikiri anawaamini wachezaji wake kupita kiasi au anawaogopa kuwakaripia.

Kocha kageuka kuwa Mr nice guy huku vijana wake wakicheza ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…