Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,122
Inauma sana kuangali mpira wa Man U,Bado aliocheza nao wanamtetea. Hii inamaanisha Ole bado yupo.
At the mean time acha tuone maajabu
Fuatilia comments zangu zote uone msimamo wangu juu ya Lindelof na Maguire.Leo hii mnamuona lindelof mzuri na mlidai anasababisha harry atoe maboko
Nashindwa niandikaje ili unielewe.No Mkuu, unaongea ishu ya kufikirika ndio maana nimeshangaa
Hivi shabiki wa Man Utd naye akitaja wachezaji ambao walihitajika summer si itakuwa tunaongelea mambo ambayo hayapo
Au niseme na Pochetino/Julian angekuwa kocha wetu msingetufunga/tungewafunga haitaleta sense
Makosa haya yatatukumbusha kumtazama vizuri Lindelof ili tupunguze kumtupia lawama ambazo hastahili.Jinsi tulivyofungwa goli la kwanza, mabeki walivyojipangaView attachment 1619849
Chief mkwawa na member mwingine simkumbuki ndiye ilikua tunawekana sawa juu ya uwezo wa lindelof. Figured man u nzima mna imani na harry kuliko lindelofFuatilia comments zangu zote uone msimamo wangu juu ya Lindelof na Maguire.
Lindelof huwa anaficha makosa mengi sana ya huyo mbuzi ila bahati mbaya yeye ndiyo hutupiwa mzigo.
Fuatilia comments zangu zote ujue msimamo wangu juu ya LindelofChief mkwawa na member mwingine simkumbuki ndiye ilikua tunawekana sawa juu ya uwezo wa lindelof. Figured man u nzima mna imani na harry kuliko lindelof
Chief mkwawa na member mwingine simkumbuki ndiye ilikua tunawekana sawa juu ya uwezo wa lindelof. Figured man u nzima mna imani na harry kuliko lindelof
kwa pesa aliyonunuliwa ndio maana watu wanaamini hatokuwa mbovu ila huyu jamaa ndio mbovu hasa pale nyuma...Lindelof anakuwaga mbuzi wa kafara tu.Chief mkwawa na member mwingine simkumbuki ndiye ilikua tunawekana sawa juu ya uwezo wa lindelof. Figured man u nzima mna imani na harry kuliko lindelof
Ni kweli hana pace. Lakini pia ana poor marking na poor decision.Mimi ni mmoja wapo ninayemkubali Maguire kuliko Lindelof
Maguire shida yake kubwa ni pace, lakini makosa mengine aliyofanya msimu huu ni kutokana na majanga aliyokumbana nayo Ugiriki, kwanza kisaikojia na pili hakupata muda mrefu wa ku train (hakuwa match fit). Ukitaka kum judge Maguire vizuri ni yule aliyekuwa Leicester na msimu wa kwanza pale Man Utd
Maguire ana ku offer interception, blocking, leadership, moving ball from back kwenda mbele, magoli, vichwa kuokoa n.k.
Lindelof ni Maguire asiweza kupiga vichwa, aliyekosa uongozi na asiyeleta hatari kwenye goli la wapinzani
Mpira haujawai kuchezwa na mchezaji mmoja mmojaKila nikiangalia mchezaji mmoja mmoja wa timu yetu na nikilinganisha matokeo yetu nahisi kama nipo ndotoni aisee...Ole anakwama wapi hivi jamani?
Ni kweli hana pace. Lakini pia ana poor marking na poor decision.
Ikatokea kuna CB wanne, Axel, Victor, Baily na Harry na ninatakiwa kuchagua wa kuingia kikosini kwenye mechi hiyo mechi nitachezesha mabeki 3 na Maguire atakaa nje.
Mkuu ulikosa namna yakunikosoa mpk ukaamua kunipa cheo cha ujinga? Najua matokeo hayaletwi na mchezaji mmoja lakini kwetu tuna wachezaji bora kwakuwaangalia mmoja, sasa kocha anashindwa wapi kuwaunganisha hawa watu walete matokeo chanya?Mpira haujawai kuchezwa na mchezaji mmoja mmoja
Ni team work
Haupo ndotoni ila una ujinga umekutawala
Ukiniuliza mimi mi naona tatizo ni morali ya timu na kocha. Kwa wachezaji wa man u ingekua na kocha kama Ferguson au Wenger ukikutana na Palace we ni unaenda kuangalia mnashinda ngapi.Sawa
Mimi kwangu Maguire na Tuanzebe ndio first choices
Bailly tatizo sometime anatumia nguvu nyingi kuliko akili
Kwa mechi ya jana wote wamezingua especially Maguire kwenye goli la kwanza, yeye ndio center half halafu captain, lakini angalia jinsi walivyojipanga mpaka Demba ba akabaki peke yake akafunga kiulaini
Hata hivyo United kuna tatizo kubwa kuliko kuangalia mchezaji mmoja mmoja
Unafikiri Sosha hataki kuwaunganisha hao wachezaji??Mkuu ulikosa namna yakunikosoa mpk ukaamua kunipa cheo cha ujinga? Najua matokeo hayaletwi na mchezaji mmoja lakini kwetu tuna wachezaji bora kwakuwaangalia mmoja, sasa kocha anashindwa wapi kuwaunganisha hawa watu walete matokeo chanya?
Weka chochote kinachoonyesha babu amemkubaliEd wardwood amemkubali
Sir. Alex Ferguson amemkubali
Familia ya glazer imemkubali
Ila kuna fisi maji mmoja wa pale manzese anakuambia Sosha atimuliwe
Chuma ole mitano tena,
Nipinge wewe kwa kuonesha chochote kuwa Sosha hawamtakiWeka chochote kinachoonyesha babu amemkubali
Kwa maneno yako haya una maanisha kocha na wachezaji wake wote wabovu?Unafikiri Sosha hataki kuwaunganisha hao wachezaji??
Mfupa (timu) iliyomshinda fisi (mourinho) nani ataweza??
Wachezaji wenyewe hao hawaunganishiki,
Hivi ukiambiwa Fred ni Brazilian utakubali?? Na nyie ndio mchezaji wenu tegemezi
Pole sana kwa kukupa cheo hicho mkuu
Ukiniuliza mimi mi naona tatizo ni morali ya timu na kocha. Kwa wachezaji wa man u ingekua na kocha kama Ferguson au Wenger ukikutana na Palace we ni unaenda kuangalia mnashinda ngapi.
Halafu Van Gaal na Mourinho mkashindwa kuwavumilia. Wazee mna hatari.