Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bado hajafukuzwa tu....

Mpaka leo naweweseka ile mechi ya aseno inakuaje bwege ateta anafuta uteja tena mbaya zaidi trafford....

Jamani inabidi tushtuke sasa tumepitwa na anaeongoza ligi kwa point tisa
Yaan kocha wangu kipenzi Unamuita bwege kweli?

 
★Paul Pogba has registered more assists in two #UCL appearances this season (2) than in his previous 21 Premier League appearances combined (1)★

manutd |
 
★Fabrizio Romano:"Manchester United are happy with Ole Gunnar Solskjaer
, at the moment they are not thinking of changing managers."★

manutd |
 
Mapema mno dah! Hawa vibonde wanafanya nini sasa. Wamepigwa na timu zote wanataka nini leo?
 
Ninachojua mimi Ole ameidharau game na amewalisha sumu wachezaji wake pia sasa wote wakajisahau wakajikuta wanapanda wote na wameadhibiwa ipasavyo "one mistake, one goal"

Game tutashinda ila Ole kawadharau sana wapinzani wetu kuanzia kwenye kikosi, kuna watu ukiwapanga kwenye michuano kama UEFA wachezaji nao wanajua kabisa hii ni easy game. Ikiwa rahisi sana wachezaji wanajisahau.
 
Mbona kikosi ni full mkoko
 
Kuna mchezaji anajitahidi kupeleka penetration passes lakini wenzake ni kama hawapo vile.
 
Mbona kikosi ni full mkoko
Yamefanyika mabadiliko karibia matano ya kikosi kilichocheza mechi za UEFA zilizopita na tukapata ushindi mzuri. Wengi walioanza leo hawapo First Eleven na hiyo ni dalili mojawapo ya kudharau game.

Kudharau game haimaanishi kuwa kikosi cha leo ni kibovu ila unapompanga Henderson badala ya De Gea tayari unajenga picha kwa wachezaji kuwa hiyo game ni rahisi, imagine enzi zile Romero aanze badala ya De Gea game ya UEFA! Obviously hii situation ingetokea tukiwa tumefuzu au kuna serious issue anaikabili De Gea. Ole anafanya kazi nzuri kuwapa playtime wachezaji wake na siyo kitu kibaya nategemea kuwaona wengi zaidi kama Ighalo tukishafuzu makundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…