Manchester United (Red Devils) | Special Thread

POGBA SASA AMEKUWA MZURI SANA..HAPO KATIKATI KUSHOTO ANACHEZA VIZURI SANA, KWANI ANAPANDISHA MASHAMBULIZI NA ANARUDI HAPO KWA SHAW KUMPA TAFU, KAMA ULIANGALIA MECHI YA UCL UTAELEWA.
Kweli
 
Nyinyi si mlitaka rotation ya kikosi sasa karotate kikosi mnasema anakuja na mfumo mpya tena ?

Hamueleweki nyinyi kufungwa kupo tu jana tulifungwa kwa kuzidiwa mbinu.

Jana option ya kuweka Pogba wing ya kushoto kulitucost sana maana hatukuwa na madhara yoyote kule.
 
Kati ya mechi zote EPL, mechi ya arsenal sio ya kufungwa. Hata mimi nikafundishe United ila sio Arsenal. Ole amezingua pakubwa jana.

Hata ukipita comments za wachambuzi na mashabiki wanashusha lawama zote kwa kocha.
 
Game plan ilikuwa mbovu kupita kiasi.

Half time tunacheza bila kupiga hata shot on target.

Dakika 90 timu haijapiga hata cross yoyote ya maana.

Pogba kamuweka wing ya kushoto kawa kama urembo tu hakuna chochote kilichofanyika.
 
Kati ya mechi zote EPL, mechi ya arsenal sio ya kufungwa. Hata mimi nikafundishe United ila sio Arsenal. Ole amezingua pakubwa jana.

Hata ukipita comments za wachambuzi na mashabiki wanashusha lawama zote kwa kocha.
Ole 'gunner '

Hivi bavaria zinalewesha?

Coyg,
 
Ngoja mshinde vimechi viwili utasikia nyenyenye epl yetu, hata hiyo uefa tunaweza kubeba, sioni wakutuzuia,
Kiukweli mashabiki nanyie mmekuwa wanafiki hamueleweki mnasimamia nini lawama au pongezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…