Pendekezo: Ole dirisha la usajili January amsajili Mesut Ozil aje acheze wing ya kulia.
Ozil ni dhahabu iliyopo mikononi mwa kipofu hivyo haina thamani yoyote kwake.
Akija atatuongezea threat na dimension upande wa kulia hasa ukizingatia uwezo wake wa kusoma mchezo na kupiga pass za mwisho.
Akicheza hata miezi sita atatupa muda wa kuwapunguzia pressure kina Facundo Pellistri na Amad.
Lakini pia Ozil wetu ajaye Hanibal Mejbir atapata fursa ya kujifunza zaidi kutoka kwake.