Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Overall ni kweli Sancho amekamilika Hasa upande wa creativity, sema Kwangu Rashford ni Bora zaidi na Sababu kubwa ni Kiwango chake Against Big teams.

Zile mechi Ngumu ambazo zina pressure huyu jamaa ndio kwake zinakuwa nyepesi.
 
So your price tag for him is?
 
Hivi kati ya Sancho na Rashford utachagua yupi kwenye kikosi chako ?
 
Overall ni kweli Sancho amekamilika Hasa upande wa creativity, sema Kwangu Rashford ni Bora zaidi na Sababu kubwa ni Kiwango chake Against Big teams.

Zile mechi Ngumu ambazo zina pressure huyu jamaa ndio kwake zinakuwa nyepesi.
Anaziweza big team kwakua hazipaki basi kama small team.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Leipzig ni kama Everton tu au AstonVilla..hivyo msione mumefunga timu kubwa sana. Nyie bado ni underdog
Hivi juzi tumetumia mbinu gani ya kiufundi kumshinda Leipzig
Mwenye maelezo mwanana anisaidie tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…