Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ebwana nakumbuka ulichosema na mimi nikasema kwa ratiba yenu naona mna uhakika wa kushinda game ya New Castle kuliko zinazofuata.

So sikushangaa mlivyompiga NC, mlivyomnyoosha na PSG nikaona utoto wa Neymar na 4 2 4 ndiyo imewaponza ila baada ya suluhu ya Chelsea na mlichofanya leo aisee sikutegemea.

Hongereni.
 
Kwenye fixture yetu ukikuta kuna.
Everton
Newcastle
Wolves
Possibility ya kudondosha point ni kubwa sana.
 
Umeongea kikubwa.
 
Nitakua mnafki nisipo ongea hili.
Sorkjer nilimpa mechi mbili akizingua nijiunge na wenzangu wanao mponda.
Cha ajabu ni mechi ya nne sasa, kashinda 3 kasuruh 1.
Hivyo kama nilimpa mtihani basi katusua tena kwa alama ya juu kabisa.
Kwa hiyo natangaza rasmi kumuunga mkono kocha wetu, iwe masika ama kiangazi.
Sio akishinda nafurahia akifungwa, sorkjer out, huo ni unafki na unafki ni alama za kishwain na ushwain mimi sipendelei.
Usiku mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…