hahahahahah lol! Mie BAK banaaaa nilikuwa nachangamsha tu hii thread yenu maana imekuwa kimya sana siku za karibuni...Namuona Babu SAF in the house....ana miss sana kuwepo kwenye mitikasi ya kila siku kuiandaa timu.
Januzaj kapiga chenga vizuri, kashindwa kumaliza kwa guu la kulia...
Vipi kiwango cha Adnan Januzaj kinaridhisha?Rooney anajikanyaga hapa na kukosa nafasi ya wazi ya kufunga.
Samaki katoka kwa Palace. Dk. 74
Nipo sana...natumia simu...ila mfarisayo anachangamsha kwa mafotos....huku Ngongoseke akiburudisha kwa taarifa...
Rooney kakosa hapa...angetoa pasi kwa Antonio ama Chicharito
Vipi kiwango cha Adnan Januzaj kinaridhisha?
Vipi kiwango cha Adnan Januzaj kinaridhisha?
Glory Glory Man Utd, Glory Glory Man Utd
Kwi kwi kwi leo naona umechangamka sana lol! siyo kama siku ile mliyotundikwa na L'pool maana ulikuwa umenyong'onyea kupita kiasi...Hongera zenu.
mabingwa hao! raha tu.