Antonio kapiga bonge la goli huko..kipara pep jasho linamtoka
Mhuu mkuu kazidiwa hadi na telegraph tena!!?Skysport si katika media za kuaminika 100% hawa sio wabaya kama Goal na Dailymail ila pia hawajafikia level za Bbc na telegraph.
Mara kibao nishaona washkaji wanatengeneza tweets fake na wao skysport wanafall na kuzitangaza bila kufanyia utafiti na baadae wanakuja kuumbuka, mifano ipo mingi sana ukitaka nitakutafutia.
Both team to scoreWanangu mechi haijafika ila kiroho kinadunda hapa. Ngoja nibetie Chelsea win ili win or lose isiume kwangu.
GGMU.
Tatizo kocha hatabiriki kupanga squad na ulazy sometimes kwenye kikosi ndo tatizo. Ila hope atakuwa amejifunza
Tukifungwa leo
OLE OUT dunia nzima inarudi.
Come on Boys tubandue rangi ya blue
Kuandika tu hujui na hujui hata unaandika vitu gani, una uhalali gani Wa sisi Na Akili zetu kukuzingatia!?mjadala uishie hapa, under dog kamfunga psg paris de princes 2-1 na kuondoka na point 3 over.
Yaani Cavan ni Wa kukosa timu au kunichagulia timu!?Cavani huyuhuyu babu aliyekosa timu toka January......rashford huyu huyu anayekufurahisha game 1 nyingine anarukaruka.....hv mnajua golini yupo kepa nn?
Man huyo ni injury prone na naona ndo sababu ya PSG kuwa sajili kina icardi ....imagine MTU hajacheza mashindano yoyote since January unaona ataweza kuwa the same kweli?
Nimeona nikupuuze tu mkuu cz najua ushaelewa man utd inamaanisha nini.Ndio
Ukicombine makombe makubwa tukachanganya yaani Ubingwa wa nchi na bara la Ulaya Liverpool ndio timu kubwa
Marcos Rojo???★Official: Solskjær confirms that Facundo Pellistri, Marcos Rojo and Brandon Williams will feature for MU U23s against Everton tonight.★
manutd |
Telegraph kuna Ducker ambaye ni reliable, pia ni website ya kulipia isiyotegemea Clickbait,
Axel Tianzebe hajacheza tangu December 2019, ila alianza match dhidi ya PSG na kuwa face Neymar, Mbappe na Di Maria. He did His job great. Toa sababu nyingine.Man huyo ni injury prone na naona ndo sababu ya PSG kuwa sajili kina icardi ....imagine MTU hajacheza mashindano yoyote since January unaona ataweza kuwa the same kweli?
Mfano Leo namuona kabisa akileta shida kwa wapinzaniMan huyo ni injury prone na naona ndo sababu ya PSG kuwa sajili kina icardi ....imagine MTU hajacheza mashindano yoyote since January unaona ataweza kuwa the same kweli?