Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu unachafua hali ya hewa, bola utulie tu, usini tafutie ban bule.
Hao PSG wako kila siku tuna wagonga alafu unatuita under dog!?
Watford kamfunga liva ila wakikutana tena bado Watford atakua underdog tu.
 
Mkuu unachafua hali ya hewa, bola utulie tu, usini tafutie ban bule.
Hao PSG wako kila siku tuna wagonga alafu unatuita under dog!?
Alafu nahisi kama tutawagonga nyingi pale OT mana watakamia game ili kuvunja uteja wkt huo Utd itakuwa imerelax, mind u kipindi hicho team itakuwa imeshakuwa organized ukiunganisha na new signing [emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji2765] Nina wasiwasi na mazoea ya kuwafunga psg, kisha baada ya hapo tunazorota.
[emoji2765] Msimu wa 2018/19, baada ya kumnyuka psg na kumuondoa kwenye mashindano ya UCL, game iliyofuata ilikuwa na arsenane EPL.
[emoji2765] Tena kabla ya psg mashabiki tuliomba miujiza ya MUNGU itendeke, na kweli tukawatoa psg.
[emoji2765] Game na asrenane, mashabiki wa Man Utd tukajisemea, eti MUNGU apumzike, asrenane ni mteja wetu.
[emoji2765] Kilichofuata nadhani wote tunajua, tulikula mkong'oto wa goli 2 kavu, na baada ya hapo tulipotea mazima hadi msimu unaisha, timu ilikuwa tia maji tia maji.
[emoji2765] Game ya chelsea naiona kama ni game ambayo itatufanya tu gain confidence zaidi, maana EPL tumeanza vibaya kiukweli.
[emoji2765] Vinginevyo chelsea anaweza akazinduka kwa kuanzia game yetu, maana mara ya mwisho alituotea goli la 3, magoli 2 yalikuwa ya kizembe.
[emoji2765] Na prefer game na chelsea iwe hivi:-
[emoji736] Dean henderson
[emoji736] Brandon williams
[emoji736] Axel tuanzebe
[emoji736] Eric betrand bailly
[emoji736] Aaron wan bissaka
[emoji736] Scott mc tominay
[emoji736] Fred
[emoji736] Alex telles
[emoji736] Marcus rashford
[emoji736] Bruno fernandez
[emoji736] Edison Cavan

[emoji2765] Substitution iwe hivi:-
[emoji736] Juan Mata
[emoji736] Victor lindelof
[emoji736] Paul pogba
[emoji736] Donny van de beek
[emoji736] Daniel james
[emoji736] Nemanja matic
[emoji736] Mason greenwood
 
Sema hapo kwa Baily na Tuanzebe, mmoja ampishe Lindolf.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Bora ukae kimya kijana.

Find something better to do.

Unachosema hakibadilishi kitu.
 
Mkuu umeanza kushabikia mpira ln?
Hivi man u ataanzaje kuwa under dog kwa PSG?
Tena timu ambayo imeshaifunga Mara 2 mfululizo?
Wolves kaifunga City mara tatu...

Bado zikikutana anayeonekana favorite kushinda ni City.
 
Man u mpk leo ni mkubwa sana kwa psg unabisha?
Hahaha kwani kinachowauma ni kipi? Watu tunazungumzia performance za timu miaka ya karibuni. Ukubwa wa kihistoria? Mashabiki? Uchumi? Obviously man u kazizidi timu nyingi siyo psg tu
 
Thomas Tuchel kakutana na Ole mara tatu kashinda mara moja na kafungwa mara mbili pale pale Parc de princes nani ana uwezo kuliko mwenzake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…