Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,487
Inahusiana na nini na tulicho discuss hapo juu?Kuna uzi fulani tulikua tunabishana kama Guardiola ni kocha mzuri ama la ule uzi ulimuweka Zidane tatu bora ya makocha duniani.
Yep.We jamaa lazima timu yako itakuwa inacheza futuhi tu yani Man U ni underdog
Umeandika 'Zidane sio kocha' ungeandika 'Zidane sio kocha?' Nilichoandika kingekua siyo relevant.Inahusiana na nini na tulicho discuss hapo juu?
Na zidane kabeba la liga mwaka jana.
Man U ni underdogs?Naona hii ni wiki ya underdogs kushangaza watu.
Kaanza man u jana.
Yea.Man U ni underdogs?
Since when?Yea.
Kwa game ya juzi na psg man u alikua underdog.Since when?
Weka stats za game.Alafu ueleze how.Kwa game ya juzi na psg man u alikua underdog.
Ungeweka stats tuone. Lakin pia wameshinda... tena nyumbani kwa timu pinzani.Kwa game ya juzi na psg man u alikua underdog.
Anajifariji muache tu.We jamaa lazima timu yako itakuwa inacheza futuhi tu yani Man U ni underdog
Tena anakuambia underdog kwa psg bora ingelikuwa ni BayernMan U ni underdogs?
Hapo unaongea kishabiki tu, ukianza kuangalia vikosi kuanzia kipa mpk forward angalia mchezaji mmoja mmoja zen rudi tena.Detective J ruralofficer mnachotaka kuanzisha ni ubishi.
PSG ingawa ana majeruhi 7 wa first 11 lakini bado betting companies zikampa man u points 6 psg kagewa 1.
Now kwakua you need to feed your ego ngoja niandike hivi;
Psg walikua favorite kushinda mechi kuliko man u based on recent years performance, kikosi, uwezo wa wachezaji na uwezo wa kocha wao.
Hapo sawa?
Hahaha haya. Nikiongea mwisho utasema kinachomatter ni ushindi. Kuna attachments mbili nimeupload ushahidi wa jinsi quality players wa man u walivyotandaza soka safi mbele ya psg.Hapo unaongea kishabiki tu, ukianza kuangalia vikosi kuanzia kipa mpk forward angalia mchezaji mmoja mmoja zen rudi tena.
Detective J ruralofficer mnachotaka kuanzisha ni ubishi.
PSG ingawa ana majeruhi 7 wa first 11 lakini bado betting companies zikampa man u points 6 psg kagewa 1.
Now kwakua you need to feed your ego ngoja niandike hivi;
Psg walikua favorite kushinda mechi kuliko man u based on recent years performance, kikosi, uwezo wa wachezaji na uwezo wa kocha wao.
Hapo sawa?
Aiseee Mara sijui kalewa kabla ya game ya Newcastle kama ni kweli huyu dogo atajipoteza mwenyewe#mufc have warned Mason Greenwood over disciplinary breaches and it is understood Greenwood has also been warned by the club over his behaviour in recent days and weeks, specifically several instances of lateness [Times]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app