Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,224
mkuu mfumo hauna winga huu, hivyo mata hawezi cheza pembeni hapo, kwa Fred, mctominay na Fernandez nani unampiga bench aanze mata?Mkuu unashindaje hapo...Mata ni mpishi mzuri umemweka bench, James juzi kaonesha mpira mkubwa sana (alitiririka sana) ilitakiwa kwa njia yoyote Martial aanzie bench. Huyo Cavani hata benchi hayupo. Haka kakocha ni takataka kabisa.
duh kumbe ni 4-2-3-1
Defenders watano daaadek! Watu wameenda kulinda na kuzuia tu huko. [emoji23][emoji23]
Defenders watano daaadek! Watu wameenda kulinda na kuzuia tu huko. [emoji23][emoji23]
Hata ikiisha mechi tutarudi kupiga penalty yetu. Ni given. [emoji16][emoji16]Hahaha hii timu bila penati itafika kweli?
Wow! 0: 1
kachezeshe weweHahaha hii timu bila penati itafika kweli?
Penati,kona,faulu zote ni components za footballHahaha hii timu bila penati itafika kweli?