The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kocha anatakiwa afanye vyovyote pogba ang'are mana ndiyo mchezaji wa gharama zaidi pale OT, so ili iwe hivyo inabidi ampange juu vyovyote vile.Inawezekana ila huo mfumo sijui kama unaweza cheza kila siku.
hivi arsenal walikuwa wanacheza mfumo gani nyakati zile za utawala wa henry na dennis bergkamp pale mbeleIli ucheze 8 na 10 inamaana ni 4-4-2 isiyo Diamond, hakuna winga hata mmoja labda james kidogo anaeweza kucheza mfumo huo utd, na ni mfumo wa kizamani ni kama hautumiki tena.
Nasubiri majibu ya wabobevu piahivi arsenal walikuwa wanacheza mfumo gani nyakati zile za utawala wa henry na dennis bergkamp pale mbele
Nimezingumzia Man U dhidi ya NewcastleHiyo nafuu ya Chelsea kwa Man Utd ni ipi? Mmecheza mechi 5 mna points 8, Utd kacheza mechi 4 ana points 6. If you know the math and probability, then huwezi kusema Chelsea anaizidi Utd.
Hii ni bila kuangalia ya last season.
Sent from my VS835 using JamiiForums mobile app
Ulivosema ninyi mna afadhali ndio sijelewa labda, ninyi kama nani??Nimezingumzia Man U dhidi ya Newcastle
swadakta, kwenye karatasi walikuwa wanatumia wakabaji wawili
Hiyo namba ya juu ndipo anapocheza Bruno. So ni either Bruno au Pogba.Hapo ndipo huwa Ole ananishangaza sn, kwnn Pobga asicheze juu? Au hata pembeni awe kiungo wa kuingia ndani? Analazimisha kumchezesha chini kisa huwa anacheza hvyo France, France co Utd bhn.
United ucheze 4 5 1 ya nini sasa ?Nazungumzia 4-3-2-1, haiwezekani?
Inaweza kulipa..Ole inabidi a-utilize hii squad hadi tuseme sasa imeshindikanahuyu daniel james hawezi kuwa fullback kama ilivyo kwa davies wa bayern munich?
Ili kusiwe na mkanganyiko huu Pogba auzwe hela nzuri halafu watumie hyo hela kuwekeza kwa mchezaji kama haaland na winga Wa kulia Mana viungo Wa kufanya kazi ya pogba tayari tunao tena wawiliunaelewa kwamba pogba akicheza juu anaempisha ni Fernandez? siku ole akimchezesha pogba juu na fernandez akatolewa pale si ndio mtazidi kumsimanga mzee wa watu?
Hivi 4-4-2 diamond inakuwaje?Ili ucheze 8 na 10 inamaana ni 4-4-2 isiyo Diamond, hakuna winga hata mmoja labda james kidogo anaeweza kucheza mfumo huo utd, na ni mfumo wa kizamani ni kama hautumiki tena.
Ha ha ha ingewezekana angekuwa balaa. Shida naona hana nguvuhuyu daniel james hawezi kuwa fullback kama ilivyo kwa davies wa bayern munich?
Nguvu anatengenezewa.. anafanyishwa mazoezi ya kutosha.Ha ha ha ingewezekana angekuwa balaa. Shida naona hana nguvu
Hivi 4-4-2 diamond inakuwaje?
Kwanza ole namchukulia ni kocha mwenye uwezo Mdogo na asiye na maono. Kuna mtu humu alisema kuliko kumtoa diogo dalot kwa kuwa hatuna winga Wa kulia na Dogo alionyesha angalau kuwa na uwezo Wa kupiga krosi basi angemjaribu huko saba kama aliona fullback haimfai. Binafsi nakubaliana na hili wazo na ninaamini inge click!huyu daniel james hawezi kuwa fullback kama ilivyo kwa davies wa bayern munich?
Spurs ya Poch ilishasnza kuporomoka. Tukubali, kiufundi Mou ni among world best. Ataweza ku-deliver sababu Spurs hakuna Pressure. United pressire ni kubwa kuanzia Wachezaji hadi kwa mwalimu.Pochetino aliandaa timu alijitahidi mourinho anaweza kuambulia kitu msimu huu kama son na kane wakiwa wazima