Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Msipomfukuza lampard hizi post zitakuja nyingi sana hapa za kupandia timu zingine kusawazisha makosa yenu
pambaneni na matatizo yenu huna haja ya kutaja timu zisizo kuhusu ili kujificha na aibu ya kushindwa kuchukua point 3 chelsea hayupo mbali ya manchester united barcelona wana kocha mpya wametoka kwenye mkwaruzano atletico unawajua soka lao kushinda kwao hawatabiliki liverpool kacheza mech moja kubwa sana kocha wa everton sio sawa na ole plus lampard unajua hilo inter milan ile ni mech yao kubwa wanakutana wapinzani wa mji mmoja lazima kukaza juventus kadi nyekundu sasa unaenda kuiingiza chelsea iliyotangulia goli 3 halafu mpira unaisha 3-3
 
vdb ana mpira flani hivi safi sana hana mambo mengi anaanzisha mashambulizi fasta sana na one too zake haipi defence muda wa kumkaba sababu hakai na mpira.

Mata amekipiga sana, Rashford tangu kurudi kutoka corona jana ndo kacheza angalau ameonekana anajuhudi hata za kudribble au ni MBE DR RASH
 
Kwan ukicheza mechi kubwa hustahili kupata ushindi? Kifo ni kifo tu haijalishi ni kwa mshituko au kwa kuvamiwa. Kubali mkuu sote ni wabovu ila atleast mimi nina kauafadhali kidogo.

Labda nikukumbushe pengine wakati game ya Chelsea inaendelea hukufuatilia vizuri. Hakuna muda sisi tuliongoza 3 then The Saints wakaja kusawazisha sijui unazungumzia mechi gani mkuu.
 

Sawa mkuu nakubali
 
Mechi mmetoka sare na Southampton nyumbani

United inawazidi kila kitu halafu mnakuja kupiga kelele huku at chelsea ilitegemewa kushinda kuliko united !!!

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mkuu hicho nachozungumzia sasa. Yan zilizotegemewa kupata matokeo hazijapata na ambazo hazikutegemewa zimepata ushindi. Si ndio maajabu nayozungumzia hayo.

Hiyo ni kutokana na trend ya matokeo pale mkikutana na Newcastle kwao huwa mnachezea kichapo.
 
Mkuu hili sio jukwaa la Arsenal8. Au kichapo cha bao 1 kime kupagawisha?
Hii timu sidhani kama nitafikisha miaka 30 nashabikia timu hii,Cavani baba ndio ujionee haya mambo haya, tumekuleta utusaidie kuyatatua haya yakusubiri paka dakika za majeruhi
 
Ole Out wakuu.

Tomminay na Fred angalau wanakata mashambulizi hawana urembo mwingi. Faulo za kijinga why Pogba na Bruno wasigombee namba huko juu, wawaache matic, tomminay na Fred wakigombania DM.

MATA oyeee.


Ole Out
Form is temporary, class is permanent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…