Sasa kwani gemu yetu ijayo inachezwa wapi?Mkuu wangu unanifurahisha sana unaposema next stop Paris
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA
*TANGU LIGI ZIMEANZA DUNIANI HAKUNA PIRA BIRIANI KAMA HILI AMBALO MUFC IMELIPIKA LEO HAPA*
ukicheza na fred na Mctominay mbele unachezesha creative player yoyote asiekaba, Mata anaonekana kushine, ila hawa wawili ndio walikuwa wakimfanyia majukumu yake ili yeye afanye mambo yake.McTominay na Fred sio Fancy Mids,lakini wakipata match sharpness timu itakuwa inacheza..ni bora uwe na Fred anayecover eneo kubwa bila kuchoka kuliko kuwa na kiungo mwenye madoido mengi yasiyo na faida huku hawezi kusaidia lolote kwenye ulinzi..Let's Fernandes do the magic..Tominay na Fred wakate umeme taratibu
McTominay na Fred sio Fancy Mids,lakini wakipata match sharpness timu itakuwa inacheza..ni bora uwe na Fred anayecover eneo kubwa bila kuchoka kuliko kuwa na kiungo mwenye madoido mengi yasiyo na faida huku hawezi kusaidia lolote kwenye ulinzi..Let's Fernandes do the magic..Tominay na Fred wakate umeme taratibu
ukicheza na fred na Mctominay mbele unachezesha creative player yoyote asiekaba, Mata anaonekana kushine, ila hawa wawili ndio walikuwa wakimfanyia majukumu yake ili yeye afanye mambo yake.
tulikuwa tunacheza hivi muda mwingi msimu uliopita, tuliacha tu baada ya Corona break, pogba alivyopona.Yes leo kama kocha anaakili timu inatakiwa kuanzia hapa sasa kumbe timu ipo ila ni yeye tu
alivyoingia VDB, fernandez akaenda kushoto, utakubali Fernandez akae winga na sio 10? kuwaanzisha hawa jamaa wote wawili ni ngumu sana.Mata anatakiwa kuwepo pia mkuu kalainisha sana timu pogba vilevile atokee bench kuna haja Van de beek kuanza badala ya james
tulikuwa tunacheza hivi muda mwingi msimu uliopita, tuliacha tu baada ya Corona break, pogba alivyopona.
alivyoingia VDB, fernandez akaenda kushoto, utakubali Fernandez akae winga na sio 10? kuwaanzisha hawa jamaa wote wawili ni ngumu sana.
mimi ninavyoona Pogba anacheza vizuri na DM kama Matic, hivyo tunaweza tengeneza patnership mbili tofauti na zikatumiwa kutokana na mechi mahitaji yake yalivyo.Nakumbuka sana pogba aliporudi kila kitu kiliharibika kocha alikuwa akitaka bruno na pogba wacheze pamoja jambo ambalo ni gumu la sivyo james na martial au rashford mmoja lazima akae bench kama anataka pogba na bruno wacheze scott na fred au matic lazima wawili waaanze
ni kweli lakini pale ni mwisho wa mechi, unafikiri fernandez akianza kama 11 ni wazo la busara?Fernanez kacheza vizur alipopelekwa pembeni VDB mzur sana akiwa kati
mimi ninavyoona Pogba anacheza vizuri na DM kama Matic, hivyo tunaweza tengeneza patnership mbili tofauti na zikatumiwa kutokana na mechi mahitaji yake yalivyo.
ni kweli lakini pale ni mwisho wa mechi, unafikiri fernandez akianza kama 11 ni wazo la busara?
As long as ataperform naona ni sawa,wachezaji wengi wamebadilishwa no zao za awali wakaperform vizuri sana tu.ni kweli lakini pale ni mwisho wa mechi, unafikiri fernandez akianza kama 11 ni wazo la busara?