Jeuri ya Martial ni ipi ?
Sikujua hilo mkuuWale na lukaku zilikuwa haziivi wakiwa uwanjan na pogba wanajaliana wao tu kuna makala ipo lukaku kaongea mwez uliopita utulivu kwa wachezaj pale united hakuna kwa maelezo yake wao wanajiiona ni daraja la juu sana ni muendelezo wa matatizo kwenye vyumba vya kubadilishia nguo bruno tayar wamezinguana na kocha japo wanakanusha
Leo siku ipo tight kinyama;
✓Everton vs Liverpool 14:30 pm
✓Man City vs Arsenal 19:30pm
✓Inter Millan vs Ac Millan 19:00pm
✓Newcastle vs Man United 22:00pm
Siangalii mechi na matokeo mfukoni tunaweza kupewa suprise na hawa Newcastle leo
Kwahiyo nani jeuri Bruno,Martial au Pogba?Wale na lukaku zilikuwa haziivi wakiwa uwanjan na pogba wanajaliana wao tu kuna makala ipo lukaku kaongea mwez uliopita utulivu kwa wachezaj pale united hakuna kwa maelezo yake wao wanajiiona ni daraja la juu sana ni muendelezo wa matatizo kwenye vyumba vya kubadilishia nguo bruno tayar wamezinguana na kocha japo wanakanusha
Sawa tusubiri saa nne mkuumi naamini tunashinda leo
Sikujua hilo mkuu
Ila mimi Pogba simkubali kabisa......
Kwahiyo nani jeuri Bruno,Martial au Pogba?
Huyo Lukaku aache ujinga alikuwa anapewa pasi kibao tu asidhani tulikuwa hatucheki gemu
Wajinga hao.Kuna watu hawataki timu yetu ishinde.
Sijui wana matatizo gani?
Angekuwa na kipaji km cha CR7 sijui ingekuwajeMimi nilikuwa namkubali na kumtetea lakin hana adabu ili hii timu itulie lazima auzwe vinginevyo madaraja yatakuwepo pale
Lukaku ndie alianza kumponda Martial kwenye media sasa hapo Forward mwenzio team mate mwenzio unamponda kwenye vyombo vya habari?Wale na lukaku zilikuwa haziivi wakiwa uwanjan na pogba wanajaliana wao tu kuna makala ipo lukaku kaongea mwez uliopita utulivu kwa wachezaj pale united hakuna kwa maelezo yake wao wanajiiona ni daraja la juu sana ni muendelezo wa matatizo kwenye vyumba vya kubadilishia nguo bruno tayar wamezinguana na kocha japo wanakanusha
Lukaku ndie alianza kumponda Martial kwenye media sasa hapo Forward mwenzio team mate mwenzio unamponda kwenye vyombo vya habari?