Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Tuwape muda vijana wetu hata mjenzi Wa nyumba alianza kama kibarua ndipo akaanza kupata uzoefu na akapewa kazi baada ya kuaminiwa ko Ole tumpe muda bhana japo ananikeraga ila namuamini anakitu flani ndani ake wasibaki akina Zidane na Pep tu kutwaa makombe Tumpe muda★
New generation

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
★Kama mtu unaona makocha wawili wote wanamfunza haendani na farsafa yao jua hafundishiki kwa kifupi ni Mbumbumbu ko tusiendelee kulazimisha mtu asie na willing ya kufundishika ko tumuache atakapo amua yeye atafundishika full stop★
Kwahiyo hata Mourinho hakuwa na uwezo wa kumtumia ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
★Kama mtu unaona makocha wawili wote wanamfunza haendani na farsafa yao jua hafundishiki kwa kifupi ni Mbumbumbu ko tusiendelee kulazimisha mtu asie na willing ya kufundishika ko tumuache atakapo amua yeye atafundishika full stop★
Uchezaji wa Pogba kwenye timu zote hizo ni ule ule isipokuwa kuna mambo kadhaa akiwa united yanayosababisha aonekane haperform.
1. League intense karibu kila mechi hivyo hawezi outperform every game.

2. Physicality ya kufunika mapungufu yake kwenye defence.
Nitatoa mifano katika timu zote alizozichezea.

Alipokuwa Juventus

Alikuwa anazungukwa na Andres Pirlo na Claudio Marchisio au Pjanic ambao kwa kiwango kikubwa walikuwa wakifuta makosa yake.

Pirlo alifanya kazi ya kumcomplement Pogba kwenye kudictate game while Marchisio au Pjanic waliongeza physicality kwenye midfield, hao watu walifanya pogba awe mobile zaidi uwanjani cause hana defensive duties.

France national timu anazungukwa na Blaise Matuid na Ng'olo Kante hao ni wachezaji ambao ni mobile na physical karibu wote hivyo wanamuondolea pogba defensive duties uwanjani anafanya kazi ya kudictate mchezo tactically.

Man united wakati wa Mourinho hapa timu ilikuwa inabadilika badilika hivyo sitazungumzia.

Wakati wa Ole akiwa interim Manager Ole alikuwa anamtumia Ander Herrera na Matic kwenye role zile za Pjanic na Pirlo au Pirlo na Marchisio ukizingatia wote Matic na Hererra wanakaba sana hivyo walikuwa wanaongeza mobility ya Pogba na kufanya adictate mchezo tactically.

Ukiangalia sasa hivi Pogba anatakiwa kutekeleza akicheza Matic Pogba na Bruno na Pogba kupewa defensive duties anageuka kuwa weaklink kwenye timu cause anafanya makosa mengi sana defensively.

Umewahi kujiuliza kwanini Pogba akicheza alongside Scot anaperform vizuri but akicheza na Fred defensively tunafanya makosa mengi sana ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hizi concerns ulizisikia kipindi cha Mourinho
Kwanza kipindi cha Mourinho walikuwa hawaelewani kwa mambo ya uwanjani na mambo ya nje ya uwanja sasa mchezaji angejituma vipi wakati hawaelewani na mwalimu ?

But uchezaji wa Pogba ni ule ule tu kwenye mechi zote.

Katika mechi 150+ kafunga 31 goals na ameassit 31 goals

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Well waliosema Pogba anacheza vizuri Ufaransa kuliko klabuni ni mashabiki wa man u. Na ndiyo wanasema kocha kashindwa kuutilize uwezo wake.

Na wewe unayebisha na kusema kiwango chake ni kilekile ni man u mwenzao pia so mi sina cha kusema. Tusubiri uwanjani.
 
Mimi nakujibu wewe uliyeleta hoja hiyo siyo hao imaginary Man united fans uliotengeneza wewe.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nakujibu wewe uliyeleta hoja hiyo siyo hao imaginary Man united fans uliotengeneza wewe.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hahaha hiyo taarifa ilitokea kwenye IG feed yangu. Siyo page ninayoifollow ngoja nirefresh feed nione kama nitaipata tena nikuletee. Yaani nitengeneze imaginary mashabiki? Hahaha Hiyo yote ili iwe nini wakati kila kitu kipo wazi
 
Pogba hajacheza na Pjanic Juventus ,Pjanic alinunuliwa baada ya Pogba kuuzwa

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 

Pogba hataki kubaki manchester united hata uchezaji wake upo hivyo na sio pogba tu tutaona mengi sana pale wachezaj wengi wamekata tamaa hadi wakina shaw wanajitokeza kutaka timu isajili kisha hamna linalofanyika unafikir watakuwa na morali? Wao wenyewe wanatambua martial na rashford sio watu makini kufunga magoli bek kule kumetoboka kuna mech ya sevilla bruno anagombana na lindelof hata ukimuangalia saiv bruno yupo yupo tu hili dirisha lilikuwa la ku bust morali ya timu
 
Sijawahi kuona Pogba ni kikwazo pale United.

Hakuna kocha technical wa kumtumia.

Ukitaka kuamini hili, tumrudishe Pogba Juventus. Tutakuja kuongea mengine hapa.
 
Juzi alisema ana ndoto ya kucheza Madrid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…