Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umeniwahi
 
Kwa kuzingatia hoja yako niliyoquote kule juu, je tukitwaa kombe lolote msimu huu itakuwa ni kwa sababu ya mbinu za Ole au ni juhudi binafsi za wachezaji ?

Je iwapo tutashinda mechi ya New Castle itakiwa ni kwa sababu ya mbinu za Ole au juhudi binafsi za wachezaji ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kwani huwa wanajitrain peke yao wachezaji kule mazoezini ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hapa hata mimi nakuunga mkono. Huyu Mikel Arteta watu watamkataa kabla hata msimu huu haujaisha.
Yawezekana akaendelea vizuri hata kwa msimu mzima bila shida baadae mambo yakaenda hovyo.

Pep Guardiola huu ni msimu wake wa pili anachezea vichapo msimu uliopita Man city alifungwa mechi nyingi kuliko alizofungwa Ole lakini hatuoni watu wakimshambulia Guardiola.

Claudio Ranieri aliipa ubingwa Leceister City msimu uliofuata alifukuzwa timu ikiwa imebakiza mechi 10 za ligi ikielekea kushuka daraja.

Kwahiyo kuanza vizuri kwa kocha siyo hoja atamalizaje ni jambo la msingi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu elewa walifukuzwa,,,
Labda utwambiye wewe ,,kwann ole asifukuzwe?
Nikukumbushe tu Van Gaal alifukuzwa kwa sababu mbili.
1. Kushindwa kuingia top four kwenye UCL.

2 Alipoteza ushawishi dress room hasa kwa senior players.

Mourinho alifukuzwa kwa sababu tatu.
1. Kutofanya vizuri mfululizo mechi kuanzia August mpaka December timu ikiwa nafasi ya 12.

2. Kupoteza ushawishi dress room kwa kugombana na kila mchezaji mfano Pogba, Martial, na Juan Mata.

3.malalamiko ya kila mara na Board kwenye media.
Mourinho alichangia sana kuturnish image ya board ya united.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hivi ingetokea tungeshinda mechi zote za mwanzo!
Tungeletewa wachezaji?
Hivi watu hawashtuki na mara hii mashabiki tumesahau!
Wakati wa usajili, board walikuwa kama wako chooni wanakunya, ubabaishaji mwingi.
Kabla ya game na sevilla europa, akina matic walikuwa wanamuuliza ole, vp sancho anatua au niaje!
Ole alikuwa anawapa moyo, ni hela nyingi lakini subira ni muhimu.
Hivi imagine wewe ndiyo mchezaji, unajituma kwa moyo wote, mnaambiwa mkiingia UCL, salary zenu zinarudi, bonus ya kutosha, na kikosi kitaimarishwa, ghafla bin vuu dirisha la usajili kimya!
Morali lazima iwe chini hata kama mna wachezaji wa vipaji wa sayari gani.
Board ya man utd ina mambo ya kijinga sana, ole hana kosa.
Tena ole namuona ni kocha anayejua mikakati zaidi ya ki mgt kuliko makocha wengi wa sasa.
 
Kabla hawajafika England Klopp tayari alishachukua ubingwa wa Bundesliga(one of the best league in Europe after LaLiga & EPL) back to back mbele ya Bayern na kuingia fainali ya Champions league tofauti na OGS aliyekuwa anafundisha Norway (ignore mambo ya Cardiff)
Klopp na OGS wote walipewa timu katikati ya msimu lets compare them msimu uliofuatia ambao walisajili/kuuza wachezaji wakaenda pre-season msimu ambao Klopp alifanya vibaya alimaliza EPL na point 75 linganisha na OGS ambaye amemaliza na point 66 ukiangalia Klopp kulikuwa na progress inaonekana (style ya kucheza & matokeo) point 76 akaja 75 akaja 97 akaja 99 then angalia magoli ya kufunga/kufungwa na mechi walizofungwa .OGS (club legend) won us Champions league as a player but kwenye ukocha United sio size yake hakuna progress kwenye matokeo wala style of play
 
Sawa utashinda.
Unajua hii mechi itakuwa ni battle ya wachezaji wenyewe na akili zao maana makocha wote weupe tu, Arsenal ukitoa vile vipasi hamna jipya. Timu yako ni mbovu na muda ukifika utajua.
Eti vipasi,, Endelea Kusubiri Treni Airport..

Kwasasa Timu yetu inacheza kwenye pattern inayoeleweka , Timu inakimbia ,inakaba na kushambulia kwa pamoja ...

Unafananisha na timu yako Hata Kukimbia ,kufanya buildup hawawezi ....

 
Bado hujatueleza kwann ole asitimuliwe
 
Kama unani shawishi vilee!!!!
 
★Mkuu ko ole anaonyesha hana kitu akipewa Muda???★
Hata kama ilimchukuwa miaka 10 ,,lakini tangia mwanzo alionyesha ana kitu cha ziada kuwapa spurs kama akipewa muda.
Ole has proved already ,,,he has nothing more to give for man u..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…