Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lkn ingefaa tujiulize huyu Maguire c ndo yule aliyeipa Leicester City ubingwa na akacheza kwa kiwango cha juu kabisa, ss inakuwaje hapa ionekane tumepigwa? Je ni kweli hajui mpira kwa kiwango hicho au anakosa coaching nzr km aliyoipata Leicester?
Duuh! Upo serious mkuu!? Pale kulikuwa na vyuma kama; Fuchs, Huth, Morgan. Maguire hakuwepo hapo kwenye ubingwa wao!

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Na ole aliishusha daraja cardiff

Unataka kuongea nini hapa??
ole ameshindwa kuinusuru cardiff kushuka, msimu ambao Cardif walishuka daraja kocha wa Cardif alikuwa makay baadae akafukuzwa timu ilipokuwa chini akapewa ole.

ila point hapa kuwa na matokeo fulani hakukufanyi wewe uwe useless, dortmund wangemuona Klop kama kaishusha Mainz wasingepata Mafanikio
 
Watu wanataka Ole aanze kazi three years ago awe na makombe tayari na uzoefu wa kutosha.

Kitu ambacho siyo kumtendea haki kabisa.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kimsingi EPL itaongozwa na makocha wenye experience kubwa i.e.Ancelot,Pep na Klop

Hao wengine kina lampard,solskjaer et al wataendelea kupata uzoefu tu ila sio matokeo makubwa unless wawe na bahati kitu ambacho ni very rare kwenye ushindani unaozingatia collection of points.
 
Tusubiri mwisho wa league.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kama mnataka mwalimu wa kuwapa vikombe Pochetinno ana muda mrefu kwenye career kuliko Ole na hana hata kombe la mbuzi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Nadhani hukunielewa mkuu..
Ukiachana na mafanikio ya timu ambaye ni vikombe..
1..Mpira una burudani..
2.. Magoli..
Ole hakiwezi hata kimoja kwenye hilo..timu inashindwa kuonyesha burudani kwenye uchezaji,,hata magoli pia hatupati..
At least huyo pochetino ameonyesha anaweza kuleta mpira wa burudani hapo man u,,tukisubiri vikombe.
Ole amewezeshwa kila kitu kulinganisha na huyo pochetino alipokuwa Totten ham...
Ninaani akiwezeshwa ni zaidi ya burudani kwa man u
 
Ilimchukua miaka mingapi Pochetino kuwa na timu ya ushindani pale Spurs ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mwisho wa siku hata wachezaji wazuri wameuzwa na Ole.

This nigger should leave Man Utd before this month ends.

Hata tushinde mechi 10 mfululizo, huyu jamaa mweupe tu. Hana la maana. Hajui anachofanya.
 
Hizo big matches unacheza ngapi kwa msimu?

Kati ya mechi 38 za ligi unakutana na mechi kubwa almost 10 tu. Unashinda hizo kubwa, unapoteza au kudraw 28 za timu ndogo.

Kama kuwafunga makocha wakubwa ni ubingwa basi Ole anatakiwa apewe tuzo.

Kocha bora ni yule anayejaza makabati silverware kwa gharama yeyote.

Mou aliachana na EPL akakomaa na Europa kwa gharama zozote na tukapata.

Ole bado anabahatisha. Hata uwanjani unaona tunacheza kwa kubahatisha au kutegemea mood ya wachezaji ipoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…