Diego simeone alishapoteza two consecutive finals.Kupoteza nusu fainali 3 ni kudhihirisha kwamba kocha hana mbinu
We are talking about one, two, three semi finals here
Diego simeone alishapoteza two consecutive finals.
Alishapoteza several semi finals
Klop alipoteza two finals akiwa na Liverpool
Guardiola alishapoteza several semi finals
Ferguson alishapoteza several finals and semi finals
Hao makocha hawana mbinu ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Diego simeone alishapoteza two consecutive finals.
Alishapoteza several semi finals
Klop alipoteza two finals akiwa na Liverpool
Guardiola alishapoteza several semi finals
Ferguson alishapoteza several finals and semi finals
Hao makocha hawana mbinu ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ole ana misimu miwili tu akifundisha timu inayopigania makombe ulitaka atwae kombe bila timu yenye ambition hizo ?Walipoteza kadhaa na walishinda kadhaa
Huyu mmasai wetu ameshinda zipi/lini
Ni kama ana allergy na makombe
Au cyo.Kaanza shabikia mpira juzi huyo
Kabisa pimbi huyo
Kuna watu ni wajinga sana, kwahyo mtu kutokuwa na taarifa sahihi ya mchezaji mmoja kutoka tm ndogo ndo anakuwa kaanza kuangalia mpira juzi, baada ya betting zen pimbi, wallahi Mungu fundi sana
Unaanza kuhamisha. mada ilikuwa semi finals za tournaments.I don't rate Diego that much, but he is better than Ole
Pia hao jamaa most ya mechi walipoteza semi finals au finals, ni kwenye makombe ya wakubwa na sio Carling au Europa
Ole ana misimu miwili tu akifundisha timu inayopigania makombe ulitaka atwae kombe bila timu yenye ambition hizo ?
Ferguson alikaa misimu mingapi na United bila kombe lolote ?
Klopp alikaa misimu mingapi na Borussia na baadae Liverpool bila kombe lolote ?
Carlo Anceloti amekaa misimu mingapi na timu mbalimbali bila kombe lolote ?
After all kama ni kombe alishatwaa kwenye ligi ya Norway na Molde.
Frustration as kufungwa na Totenham zisitufikie kwenye chuki dhidi ya Mwalimu ambayo itatufanya tusione lolote jema kwake.
Msimu huu ndiyo msimu pekee ambao tunapaswa kudai makombe toka kwa Ole Gunar Solkjaer chini ya hapo ni kumuonea tu.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Unaanza kuhamisha. mada ilikuwa semi finals za tournaments.
Anyway kwani Klopp wakati anapoteza final na Sevilla ile ilikuwa Champions League ?
Mbona Man city alipoteza Semi Final na Arsenal kwenye FA cup ?
Klopp toka amekuja England mbona hajawahi hata kufika finali ya FA ?
mbona Ferguson aliwahi kupoteza Quater finals ya Europa dhidi ya Athletic Bilbao ?
Huu ni msimu wa ngapi Diego Simeone hajawahi fika final hata kombe la mfalme Kyle Spain ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Huu uandishi unafanana na uandishi Wa magazeti dizaini ya "Champion" hasa yaelezeapo Yanga na SimbaUMEMWONA Edinson Cavani? Anapiga tizi la kutosha kivyake akiwa amejitenga kama kanuni ya janga la virusi vya corona inavyohitaji baada ya kunaswa na Manchester United.
Straika huyo wa kimataifa wa Uruguay, Cavani, 33, alituma video yake Instagram akipiga tizi kali kujiweka fiti huku akiwa na uzi wa mazoezi wa Man United.
Cavani alisaini mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwingine zaidi huko Man United wenye thamani ya Pauni 200,000 kwa wiki. Lakini, sasa baada ya kuwasili kutoka Ufaransa, atalazimika kujifungia kwa siku 14 kutokana na kanuni za corona. Kama mambo yatakuwa hivyo, Cavani hatacheza dhidi ya Newcastle United, Oktoba 17 na atakuwa na siku moja tu ya kujiunga na wenzake kabla ya kuwakabili timu yake ya zamani Paris Saint-Germain.
Unaambiwa hivi, Cavani ni balaa jingine linapokuja suala la kufunga. Tangu aanze kucheza soka, wachezaji wanaomzidi kwa mabao ni wawili tu, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
Zaidi ya hapo, atatua Ligi Kuu England ambako hakuna straika yeyote anayeweza kumshinda kwenye kufunga kuanzia Harry Kane wa Tottenham, Sergio Aguero wa Manchester City, Mohamed Salah wa Liverpool, Pierre-Emerick Aubameyang wa Arsenal na hata Jamie Vardy wa Leicester City hawatii mguu kwa fowadi huyo matata.
Katika Ligi Kuu tano bora za Ulaya, kuanzia Machi 11 2007, ni Ronaldo na Messi pekee yake ndio wanaomzidi Cavani kwa mabao, ambapo ndani ya muda huo, ametikisa nyavu mara 250. Anashika namba tatu kwa mabao nyuma ya Ronaldo na Messi. Ronaldo anayekipiga Juventus kwa sasa amefunga mabao 416, wakati staa wa Barcelona, Messi amefunga mabao 432. Cavani alihitaji mechi 413 kufunga mabao 250, wakati Ronaldo mabao yake aliyofunga alihitaji mechi 433 na Messi mechi 450. Amepita kwenye timu za Palermo, Napoli na PSG kabla ya sasa kutua Man United, huku akifunika mastraika wote waliopo Ligi Kuu England.
Ndani ya muda huo, Aguero amejaribu kufurukuta akifunga mabao 248 na walau anamkaribia Cavani kwa mastaa waliopo Ligi Kuu England kwa sasa. Aguero amecheza idadi sawa ya mechi na Cavani, ila anazidiwa mabao mawili. Tano bora ya mastaa waliotikisa nyavu mara nyingi kwenye Ligi Kuu tano bora za Ulaya kwa kuanzia Mei 11, 2007 inakamilishwa na Zlatan Ibrahimovic, mwenye mabao 245 katika mechi 330. Mabao yake mengi Cavani alifunga akiwa na kikosi cha PSG.
Alifunga mabao 138 katika mechi 200. Kwenye kikosi cha Napoli kwanza alipocheza kwa mkopo akitokea Palermo alifunga mabao 26 katika mechi 35 na baada ya kubeba jumla, alifunga mabao 52 katika mechi 69 kabla ya kusajiliwa na PSG. Kwenye kikosi cha Palermo alifunga mabao 34 katika mechi 109.
Klopp,Simeone,Pep & Carlo are among the best manager in Europe for more than 10 yearsDiego simeone alishapoteza two consecutive finals.
Alishapoteza several semi finals
Klop alipoteza two finals akiwa na Liverpool
Guardiola alishapoteza several semi finals
Ferguson alishapoteza several finals and semi finals
Hao makocha hawana mbinu ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Sikuwa na negativity lakini
Tuandikie wewe ya SkySport
Walianaza kwa kupata makombe ?Klopp,Simeone,Pep & Carlo are among the best manager in Europe for more than 10 years
The have won many trophies in top league/competition (EPL,Serie A,La Liga,Bundesliga,Europa league,Champions league)
OGS have won nothing so far its doesnt making sense to compare with them
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Good coach anaonekana anachofundisha hata kama hajashinda kombe wapo waliopata makombe walivyoanza kufundisha Pep,Zizou
Nilichotaka kuonyesha ni kwamba hata hao big managers ameshapoteza finals na semi finals nyingi tu.Klopp,Simeone,Pep & Carlo are among the best manager in Europe for more than 10 years
The have won many trophies in top league/competition (EPL,Serie A,La Liga,Bundesliga,Europa league,Champions league)
OGS have won nothing so far its doesnt making sense to compare with them
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Kuna watu wanamtaka Pochetino ambaye nothing he has won so far mpaka sasa.Good coach anaonekana anachofundisha hata kama hajashinda kombe wapo waliopata makombe walivyoanza kufundisha Pep,Zizou
OGS hayuko hilo kundi its almost 2 years anafundisha United nothing special so far
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Siongolei kufungwa semi final naongelea uwezo wa OGS kufundisha Manchester United ni mdogoNilichotaka kuonyesha ni kwamba hata hao big managers ameshapoteza finals na semi finals nyingi tu.
Kwahiyo kumdharau Ole kwa kupoteza three semi finals.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Then you quoted me wrong.Siongolei kufungwa semi final naongelea uwezo wa OGS kufundisha Manchester United ni mdogo
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app