Sawa ila kuifunga Palace na kucheza mpira mzuri hakuhitaji mamilioni ya mapound yaliyopitiliza. Una pogba,dvdb,Bruno wote wanaanza kuonekana paka tu kweli!?Man Utd missed out on ALL of Ole Gunnar Solskjaer’s transfer targets this summer including Sancho, Grealish and Ake
The club realised too late they wouldn't get Sancho and ultimately signed two youngsters who will surely have to wait for first-team action
Having missed out on Erling Haaland in January, Solskjaer was determined to spend big and revamp his lacklustre squad.
But, despite a deadline-day panic spree, the Norwegian missed out on every, single one of his top targets.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516]
Kwa maelezo hayo hapo juu wakuu hata aje kocha gani hii timu haiwezi kusonga mbele kwa sababu hawapati wale watu ambao wana uhakika nao.
Tena tatizo kubwa tu kwa hao wachezaji tunapaswa kuwa timu nzuri tu kabisa yani hiyo midfield yote ni utopolo?? no way ndo mana siamini hata aje nani tutabaki kama tulivo Ole asipobadilika kimbinu.Pamoja na mapungufu yoooooote ya Ed na Glazers, lazima tukubali kuna tatizo kwenye benchi la ufundi
First 11, subs £€$View attachment 1594822
Tena tatizo kubwa tu kwa hao wachezaji tunapaswa kuwa timu nzuri tu kabisa yani hiyo midfield yote ni utopolo?? no way ndo mana siamini hata aje nani tutabaki kama tulivo Ole asipobadilika kimbinu.
Pamoja na mapungufu yoooooote ya Ed na Glazers, lazima tukubali kuna tatizo kwenye benchi la ufundi
First 11, subs £€$View attachment 1594822
Kweli kabisa mkuu lile jamaa Papaa Gx halijui mpira kabisa na nilizembe sn ndo mana limepigwa ban humu haliwezi kufanana na ww mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Acha kunifanananisha na watu wasio jua mpira.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kabisa ndugu yangu [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wachana nalo lile Papaa Gx jinga moja lisikupotezee muda, ww uko poa kabisa mkuu pia unachangamsha uzi na unatupa somo cc utd.Mkuu acha uchokozi
Pesa pekee haijengi timu imara, ni zaidi ya pesa ili uwe na timu imara. Unahitaji kuwa na watu nyuma ya hiyo pesa wanaojua kuitendea haki. Roman Abramovich alipoinunua tu Chelsea mwaka 2003 kitu cha kwanza kabisa alimchukua chief executive kutoka kwetu Peter Kenyon na ndani ya miaka sita tu walishinda EPL mara mbili mpaka 2009 alipostaafu na mwaka ulifuata walichukua tena maana yake alitayarisha succession plan nzuri pia.
Mfano mdogo kabisa kwa Ole, kuna report imetoka juzi inasema Ole hajapewa chaguo lake namba moja ktk usajili kama makocha waliopita tu. Yeye alimtaka Jadon Sancho ila Ed kamletea Amad Traore, hata Harry Maguire ilikuwa ni pending file mezani kwa Ed mtu aliyemhitaji alikuwa ni Jose ila hakuletewa kwa wakati.
Kama ni benchi la ufundi ni bovu basi kuna mtu nyuma anayewaajiri hawa anafanya trial & error bila kujua anahitaji nini hasa kwa miaka saba sasa. Maana tumebadilisha makocha watano. Wawili kati ya hao watano wameshinda mataji zaidi ya 50 kwa pamoja ktk career zao (LVG & Jose).
Wewe ni[emoji706][emoji706]Acha kunifanananisha na watu wasio jua mpira.
Co yeye mkuu, huyu ni The BOSS1 hana shida km za yule lofa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndio yeye huyo, kama huamini mwambie atoe mask[emoji23][emoji23]
Wewe ni[emoji706][emoji706]