Home grown wote ambao under 23 wanakuwa hawawekwi kwenye list lakini wanacheza kwenye mashindano kwani taarifa zao zinapelekagwa uefa 24 hrs before the gameHii list itakuwa ni fake. Bila Greenwood?
ukiangalia ni wachezaji 4 nafasi 2, hivyo pengine ni choice ya kwanza Sancho, akikosekana grealish, upamecano ikishindikana Ake, ama Grealish ameletwa VDB?Yaani window hii tulikua tunahitaji 2 CBs? Something fishy.
Safari hii atashinda tu.Fun Fact:
Jurgen Klopp has been Liverpool manager for 5 years today and has never won a PL game at Old Trafford, the only ground he hasn't recorded a win.
Man Utd missed out on ALL of Ole Gunnar Solskjaer’s transfer targets this summer including Sancho, Grealish and Ake
The club realised too late they wouldn't get Sancho and ultimately signed two youngsters who will surely have to wait for first-team action
Having missed out on Erling Haaland in January, Solskjaer was determined to spend big and revamp his lacklustre squad.
But, despite a deadline-day panic spree, the Norwegian missed out on every, single one of his top targets.
Kwa maelezo hayo hapo juu wakuu hata aje kocha gani hii timu haiwezi kusonga mbele kwa sababu hawapati wale watu ambao wana uhakika nao.
I think Executive Vice Chairman Ed Woodward is going nowhere, seeing that he is the Glazer's right hand man but he has to leave the football decisions to someone else with extensive experience in the running of a football club, that person should then sit on the Board. We just need proper football men in the Director of football role and Transfer Chief, they decide what kind of football is played, the players who suit the style of play and crucially a coach who fits the players and club.Kwahiyo solution ni ipi?
Safari hii lazima ashinde.Fun Fact:
Jurgen Klopp has been Liverpool manager for 5 years today and has never won a PL game at Old Trafford, the only ground he hasn't recorded a win.
Umenikumbusha Babu, Asante.Home grown wote ambao under 23 wanakuwa hawawekwi kwenye list lakini wanacheza kwenye mashindano kwani taarifa zao zinapelekagwa uefa 24 hrs before the game
Yeye na Greenwood pamoja na U21 wengine hawajumuishwi kwenye A-LIST SQUAD ambayo ina wachezaji wa senior team tu, wao wapo kwenye B-LIST SQUAD kwahiyo kocha akiwahitaji atakuwa anawajumuisha kwenye kikosi chake atakachokichagua kucheza kila mechi na kutuma UEFA kabla ya masaa 24 ili waweze kucheza.
Ni mzembe sana.
Ni mzembe sana.
Kapata injury tena ?Straight anaenda gereji
View attachment 1594729
Kapata injury tena ?
Anatumia nguvu nyingi sana kuliko akili.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Akili imekukaa sawa sasa hivi unaandika point,Home grown wote ambao under 23 wanakuwa hawawekwi kwenye list lakini wanacheza kwenye mashindano kwani taarifa zao zinapelekagwa uefa 24 hrs before the game