Manchester United (Red Devils) | Special Thread

I
Issue ya Romero vipi mkuu?
 
Kwahiyo solution ni ipi?
 
I

Issue ya Romero vipi mkuu?
Hajajumuishwa kwenye kikosi kwasababu hayupo kwenye mipango ya kocha na sababu kubwa ni uwepo wa Henderson ambaye anaanza kuandaliwa kama future goalkeeper namba 1 wa United, pia kuna tetesi kuwa ataondoka United mwezi huu kwenda kujiunga na timu ya ligi ya Marekani (MLS)
 
Kuna mawili kwenye hiyo scenario. Either ni kweli first targets zake hazikupatikana kwa ubovu as bodi au inaweza kuwa ni story imekuwa fabricated ili mambo yakienda kombo kwa Ole kidole anyooshewe Ed. Yote ni possible.

Still nasimama na bodi na whoever ambaye hakubaliani na manunuzi ya Sancho kwa Pauni 100 Million. Ila nawa blast kwa kutokua na option B the whole fu*king window.
 
Daah! Ole anasikitisha sana! Sergio Romero (33) hayupo kwenye mipango yake; ila Lee Grant(37) ana mipango naye.
 
Daah! Ole anasikitisha sana! Sergio Romero (33) hayupo kwenye mipango yake; ila Lee Grant(37) ana mipango naye.
Swala la huyu jamaa nafikiri wakala wake yupo slow sana na mzembe pia kutizama taswira pana. Muda ambao Dean aliposema anabaki atagombea namba pale pale alipaswa aanze kumtafutia mteja wake (Sergio) timu. Maana mpaka sasa kuna pressure kubwa sana pale golini, kuna watu wanalishauri benchi la ufundi ni muda sahihi sasa kufanya reformations pia ya eneo hilo ikiwepo kum-drop David kama golikipa namba moja ili kujenga timu upya.
 
Daah! Ole anasikitisha sana! Sergio Romero (33) hayupo kwenye mipango yake; ila Lee Grant(37) ana mipango naye.
Kwa kiwango cha Romero ni ngumu kubaki huku akiwa anajua alikuwa kipa namba mbili na bado hiyohiyo namba amekuja mtu ambaye siyo tu kugombea namba mbili yani ndiyo mtarajiwa wa namba moja baadaye, hivyo game time hatapata so ni bora aondoke.

Hakuna asiyejua uwezo wake, ila kubaki naye ni ngumu sio mtu anayeweza kukaa msimu mzima bench. Makipa watatu kwa timu wanatosha hivyo Lee Grante ni option ya mwisho kabisa ikitokea De Gea na Henderson hawapo available: kitu ambacho ni ngumu kutokea.
 

Hapo kwa wakala upo sahihi kipa kama yule alivunjiwa mkataba na sampdoria ya italy alikuwa free inawezekanaje?
 
Hii list itakuwa ni fake. Bila Greenwood?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…