Achaga mambo ya kuropoka bro jifunze kufatilia mambo kwanza, iyo ni sheria maalumu kwa mgeni kukaa quarantine siku kadhaa hiyo utofauti wake ni kwamba haudakwi airport kama walivyokuwa wanafanyiwa huku hostel za magufuli sijui bali ni principle zilizopo kuleHuyu itakua ni majeruhi tayar sema imefichwa!
Juzi mbn alikua uwanjani tena groupwise na alipiga mpira hadi akaanguka! Karantin imetoka wapi?
Huyu tumepigwa
Wew ndy hufatilii, huo utaratibu naujua, umeangalia alipokuwepo juzi?Achaga mambo ya kuropoka bro jifunze kufatilia mambo kwanza, iyo ni sheria maalumu kwa mgeni kukaa quarantine siku kadhaa hiyo utofauti wake ni kwamba haudakwi airport kama walivyokuwa wanafanyiwa huku hostel za magufuli sijui bali ni principle zilizopo kule
Pole sana Ole Gunnar Solskjaer in advanceHold your breath.View attachment 1593430View attachment 1593431
Duuu hii fixture sio poaHold your breath.View attachment 1593430View attachment 1593431
Very Sad for Ole!Hold your breath.View attachment 1593430View attachment 1593431
This too shall passHold your breath.View attachment 1593430View attachment 1593431
Unaelewa kitu gani unapoambiwa principle bro ndomana mwanzo nikakwambia kwamba haudakwi kama huku kilichopo kule ni kwamba quarantine ni principle kukaa kwa mgeni sasa hushikiwi fimbo ila wakija kugundua hujawahi kukaa quarantine basi hatua za kisheria zitakuhukumu, kuwepo juzi na wenzake mazoezini sawa inawezekana kwa sababu hakushikiwa fimbo kama huku kwenuWew ndy hufatilii, huo utaratibu naujua, umeangalia alipokuwepo juzi?
#137,555 Kwenye hiyo post alikuwa peke ake?
Majeruhi kivipi wakati, ajacheza miezi 7.Huyu itakua ni majeruhi tayar sema imefichwa!
Juzi mbn alikua uwanjani tena groupwise na alipiga mpira hadi akaanguka! Karantin imetoka wapi?
Huyu tumepigwa
Allex Telles alikuwa na timu, Porto. Ambapo huwa wanakuwa tested mara kwa mara.★Me mwenyewe nashangaa afu chaajabu Telles atacheza yeye sjui Quarantine haimuhusu wakati wamekuja wakati mmoja★
Majeruhi kivipi wakati, ajacheza miezi 7.
Quarantine ni sheria za UK ndio zinataka hivyo.Allex Telles alikuwa na timu, Porto. Ambapo huwa wanakuwa tested mara kwa mara.
Kama Epl wanavyofanya.
Cavan yeye hakuwa na timu yoyote.
Are you serious? Mara ya mwisho sisi tumebeba EPL ilikuwa mwaka 2013. Kwa kuangalia picha uliyoweka ktk utambulisho wako utakuwa ni mshabiki wa Arsenal, kumbu kumbu zinaonyesha nyie mmebeba kombe la EPL mwaka 2004, Je ni nani hapa anafaa kuwa labelled historical site?Mumebaki kama historical sites tu