Unanifundisha namna ya kujibu ?Swali jibu lake lilitakiwa liwe "Ndiyo" au "Hapana"
Mechi kabla haijaanza timu huonyeshwa formation zao. Unless canal + iwe na makengeza kipindi ambacho Martial majeruhi mlikua mnatumia formtaion gani?
Hahaha so unajisikiaje mnavyoshindwa kuutilize hiyo squad?Man united ni timu kubwa kuliko Arsenal, ina mlengo makubwa kuliko Arsenal na lazima iwe na Squad kubwa kuliko Arsenal.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hapana kaka, nilihisi umeenda chaka.
Hahaha sawa. Itabidi nibadili decoder. Mid teams nyingi mmecheza nazo kwa 4 3 3. Martial alivyorudi mkaswitch kwenda 4 2 3 1.Hatukuwahi kubadili mfumo katika msimu uliopita except mechi ya Man city Etihad na Liverpool Anfield
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Duh inaonekana una certificate ya ubishiHahaha sawa. Itabidi nibadili decoder. Mid teams nyingi mmecheza nazo kwa 4 3 3. Martial alivyorudi mkaswitch kwenda 4 2 3 1.
Arsenal ina Lacazette ambaye kascore kila mechi ile mechi na Liva akakosa chansi mbili za wazi mechi iliyofuata akala benchi.Man united ni timu kubwa kuliko Arsenal, ina mlengo makubwa kuliko Arsenal na lazima iwe na Squad kubwa kuliko Arsenal.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ighalo hajaletwa kuwa Main striker na Ameperform kwenye makombe madogo ambayo amekopwa aje acheze huko. Ndio maana hata mkataba ulivyoisha akaongezewa muda.Hahaha so unajisikiaje mnavyoshindwa kuutilize hiyo squad?
Hahaha squad kubwa ilikua na striker mmoja tu, ikamuuza, ikahangaika kutafuta striker ikamleta Ighalo, hajaperform kaja Cavani.
Kwanini hamkuchomoa ST mmoja kutoka kwenye squad depth yenu. Hii imani uliyonayo ni kubwa sana ila inapingana na ukweli
Sio kuliko Arsenal Tu bali ni kubwa kuliko zote England.Man united ni timu kubwa kuliko Arsenal, ina mlengo makubwa kuliko Arsenal na lazima iwe na Squad kubwa kuliko Arsenal.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Nililenga kumjibu huyo shabiki wa Arsenal ambaye kila siku yupo kwenye uzi wa Man unitedSio kuliko Arsenal Tu bali ni kubwa kuliko zote England.
Jap Stam na Garry Pallister wapi ?★Ronaldo
Rooney
Cantona
Manchester United’s best XI of the Premier League era️
What would you change?★
#GGMU
manutd |View attachment 1592983
Game 1....Rojo vs BailySidan kama makosa aliyofanyaga Marcos Rojo yamefikia ya Magwaya...tunahangaika wee hatuna beki ....tumjarib Rojo
Hakuna timu inayoogopa kukutana na United kwa sasa mzeeHizo timu zote zinaogopa kukutana na United kuliko united wanavyoogopa kukutana nazo.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Rojo huwa hachezi kwa sababu ya majeraha tuSidan kama makosa aliyofanyaga Marcos Rojo yamefikia ya Magwaya...tunahangaika wee hatuna beki ....tumjarib Rojo