Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Kama kupiga penat ni rahisi argentina si wangechukua copa america mbele ya chile bruno ktk wachezaj si wakumletea masihara hata kidogo.
 
Hao wengine kina Everton wamecheza mechi 10 au? Wachezaji aliowasajili Ole karibia wote wameshuka viwango japo wakati wanakuja walikuwa
Bissaka, DJ, Maguire, Fernandes we huoni? Je hao wote amecheza nao mechi 3?

Mkuu ktk suala la kupoteza fom sijaona kwa mess na ronaldo tu ktk zama hizi timu inapowahitaj watakuwepo pale kutoa msaada
 
Manchester United imejiondoa katika kumsaini mshambuliaji wa England Jadon Sancho 20, baada ya kubaini kwamba uhamisho huo huenda ukaigharimu timu hiyo £227m kutokana na dau la £108m linalotakiwa na Borussia Dortmund , pamoja na mahitaji ya marupurupu ya mshahara kutoka kwa ajenti wake (Guardian)


Dortmund walitaka kupiga mpunga unaokaribiana na mbappe au neymar ambao hao wachezaj wameshinda makombe makubwa tungepigwa yaleyale ya uhamisho wa pogba.
 
Sina haja ya kujua fitness ya tm zngne hazinihusu, mm naongelea man u ambayo ikizingua dunia nzima inatikisika nyie wengine na tm zenu ambazo hata zikizingua hazistui mtajijua wenyewe.
Hahaha dunia itikisike?
 
And yet tuna Goli 11 mechi 5, je tukiweza kutengeneza itakuwaje? Na goli zote hizi 11 hazikuwa na Build up? Mpaka lile goli letu bora la mwezi?
Goli 11 penati ngapi?

Goli bora la mwezi? Lile la mwezi septemba ambalo lilikua penati ya rashford as mwezi mzima timu ilikua ina goli moja tu?

Au mwezi gani?
 
Conspiracy theorist wamebana pumzi kuona cavani ataperform vipi
 
Uamuzi ulikua wa busara huu.

Maajabu mashabiki wanalalamika.

Mimi nahisi man u inapitia njia iliyopita Arsenal kipindi cha Emery.

Emery msimu mzima hana first XI. Msimu mzima anabadilisha badilisha formation, anabadilisha watu namba, morali ya timu ikashuka confidence kwa wachezaji ikashuka.

Mchezaji aliyekua anapiga pasi nyingi epl ghafla mechi nzima anapiga pasi 11.

Mambo mawili au matatu aliyokua anafanya Emery ndiyo anayafanya Ole kwa sasa. Mi naona kikosi cha man u ni kizuri ukimuondoa maguire isipokua ole kashindwa kupandisha morali ya timu
 
Hizi excuse zilianza kwa Haaland,Bellighan now Sancho kuna wachezaji wengi wazuri cheap tatizo ni how club yetu inavyojiendesha ndio maana kila mchezaji tunayemtaka anakuwa overpriced

Dortmund hawanegotiate mshahara wa mchezaji wanaomuuza wao walitaka paundi mil 108 hayo mengine ni nyie na mchezaji
 

Kweli
 
Goli 11 penati ngapi?

Goli bora la mwezi? Lile la mwezi septemba ambalo lilikua penati ya rashford as mwezi mzima timu ilikua ina goli moja tu?

Au mwezi gani?

Penat sio goli?
 
Kwa hili tuko pamoja wacha wabaki naye zen mwakani wamuuze Chelsea kwa £45mil.
 
Hana thamani hyo ss.
 
Cavani hana tofauti na Mzee Yusuph..

Walipoacha mpira/taarabu ndio wamemaliza kila kitu. Kumrudisha hakuwezi kutatua tatizo lenu.

Misuli imeshadhoofika kwa kukosa game time+ umri + ligi ya ushindani..

Mtajua hamjui, time will tell!
 
Cavani hana tofauti na Mzee Yusuph..

Walipoacha mpira/taarabu ndio wamemaliza kila kitu. Kumrudisha hakuwezi kutatua tatizo lenu.

Misuli imeshadhoofika kwa kukosa game time+ umri + ligi ya ushindani..

Mtajua hamjui, time will tell!

sawa sawa shafih dauda
 
Tumeanza kutumia 4 2 3 1 toka msimu uliopita na hata aliposajiliwa Bruno tulitumia mfumo huo huo mbona Bruno hakuonekana miyeyusho ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…