Fitness ikiwa regained mtapata ushindi mfululizo.Bissaka mechi ya kwanza yenyewe ya palace hakuwa fit na hajacheza amecheza mechi 2 tu.
Tatizo lenu nyie mnajua mpira ni playstation unawasha tu kwenye umeme na kuanza kucheza, fitness ni jambo muhimu sana tena sana.
Angalia wote ambao wapo juu Epl hawajacheza michuano ya Ulaya, hii ni training regime ya Everton kabla ya Epl
Full Practice Game Part Of Everton's Training Plan For League Restart
Report: 19-year-old prospect has been in Everton first-team training ever since they returned – HITC
Sisi wachezaji wamekutana mechi ya palace ya ligi, hata mechi ya kirafiki ya Villa kikosi cha kwanza kilikuwa hakija report
Niliwahi kuandika matokeo ya timu zilizofika mbali ulaya, bayern mechi 2 zilizopita karuhusu goli 7, lyon ana Mechi ya 5 mfululizo hajui ushindi, sio coincidence hii.
Trust me timu yetu inapo regain fitness utaona na ushindi mfululizo unavyokuja, bado nina imani mwaka huuu tunachallenge Epl ubingwa.
Kwahiyo timu zingine ndiyo zipo fit kasoro man u tu?Ni kweli wachezaji man u hawapofit lkn je nani anayepaswa kuhakikisha fitness ya kikosi?
Kinacholeta fitness ni mazoezi na muda, hatukuwa na muda wa kufanya mazoezi ndio maana hatuna fitness. Europa Imechelewa kuisha hivyo wachezaji wakachelewa kupewa likizo na sababu wamechelewa kupewa likizo wakachelewa kurudi kambini na kusababisha kuanza ligi bila fitnessNi kweli wachezaji man u hawapofit lkn je nani anayepaswa kuhakikisha fitness ya kikosi?
Hahaha tumekosa visingizio mimi na nani? Swali la kawaida hilo unataka ugeuke ugomvi.Niliwahi Kuandika humu mkuu assume Bruno Fernandez ana goli 0, stats zake tu za utengenezaji magoli ni 2nd to De bruyne, Hakuna kiumbe chochote pale Epl kinachomfikia zaidi ya De bruyne. Hivyo hakuna Debate ya uchezaji wake mumekosa visingizio mkaona mtafute hilo la penalty.
Mpaka leo tuna Record toka mwezi wa kwanza mwishoni hatujapoteza mechi yoyote ugenini, kama tuliweza kumaintain winning streak mpaka tukashika nafasi ya 3 kwanini tushindwe sasa hivi?Fitness ikiwa regained mtapata ushindi mfululizo.
Hii imani ni yenye nguvu si mchezo. Mkuu kocha wenu tu anahangaika na formation ili Donny apate pa kucheza timu yenu haina uwezo wa kuanzisha shambulizi from scratch, kocha anataka RW sasa uahindi mfululizo utawezekana kweli?
Mkuu unadhani baada ya muda gani man u itakua na fitness ya kuanza kushinda mfululizo?Kinacholeta fitness ni mazoezi na muda, hatukuwa na muda wa kufanya mazoezi ndio maana hatuna fitness. Europa Imechelewa kuisha hivyo wachezaji wakachelewa kupewa likizo na sababu wamechelewa kupewa likizo wakachelewa kurudi kambini na kusababisha kuanza ligi bila fitness
Notis kwamba nimeongelea timu kushindwa kutengeneza build up ya goli. Hiyo rekodi ya kutofungwa mbona haijibu swali?Mpaka leo tuna Record toka mwezi wa kwanza mwishoni hatujapoteza mechi yoyote ugenini, kama tuliweza kumaintain winning streak mpaka tukashika nafasi ya 3 kwanini tushindwe sasa hivi?
Hivi upo serious kusema Fernandes ni mkali and he is second to Kevin? Bernardo Silva anacheza cricket?Niliwahi Kuandika humu mkuu assume Bruno Fernandez ana goli 0, stats zake tu za utengenezaji magoli ni 2nd to De bruyne, Hakuna kiumbe chochote pale Epl kinachomfikia zaidi ya De bruyne. Hivyo hakuna Debate ya uchezaji wake mumekosa visingizio mkaona mtafute hilo la penalty.
Hehehe★Manchester United have serious attacking options [emoji91]★
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd | View attachment 1592575
And yet tuna Goli 11 mechi 5, je tukiweza kutengeneza itakuwaje? Na goli zote hizi 11 hazikuwa na Build up? Mpaka lile goli letu bora la mwezi?Notis kwamba nimeongelea timu kushindwa kutengeneza build up ya goli. Hiyo rekodi ya kutofungwa mbona haijibu swali?
Hivi upo serious kusema Fernandes ni mkali and he is second to Kevin? Bernardo Silva anacheza cricket?
Huyu jamaa siyo mbaya ila kazidiwa na wachezaji wengine isipokua anachokifanya hakijaonwa na mashabiki wa man u kwa muda mkubwa so anatukuzwa kama lulu.
Formation ya 4 2 3 1 ambayo imeanza kutumika ili kumpa nafasi Donny ikiendelea kutumika Bruno ataanza kuonekana miyeyusho. Mpaka mje kuizoea ushindi mfululizo unaousema utakua outta window.
Hizi stats muhimu za kiungo mshambuliajiHivi upo serious kusema Fernandes ni mkali and he is second to Kevin? Bernardo Silva anacheza cricket?
Huyu jamaa siyo mbaya ila kazidiwa na wachezaji wengine isipokua anachokifanya hakijaonwa na mashabiki wa man u kwa muda mkubwa so anatukuzwa kama lulu.
Formation ya 4 2 3 1 ambayo imeanza kutumika ili kumpa nafasi Donny ikiendelea kutumika Bruno ataanza kuonekana miyeyusho. Mpaka mje kuizoea ushindi mfululizo unaousema utakua outta window.
Sina haja ya kujua fitness ya tm zngne hazinihusu, mm naongelea man u ambayo ikizingua dunia nzima inatikisika nyie wengine na tm zenu ambazo hata zikizingua hazistui mtajijua wenyewe.Kwahiyo timu zingine ndiyo zipo fit kasoro man u tu?
Watu hawakutegemea, walidhani mzee wa kununa atavua jezi [emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo anajua ila ana troll tu.Hizi stats muhimu za kiungo mshambuliaji
1. Magoli
Bruno nusu msimu 8
Bernado msimu mzima 6
2. Assist
Bruno nusu msimu 7
Silva msimu mzima 7
3. Key passes
Bruno average 2.1
Silva Aveeage 1.5
4. Mashuti golini
Bruno average 3.5
Silva ni 1.5 tu
5. Dribble
Bruno average 1.8
Silva ni 1.2
Stats zote zinazohusu ushambuliaji Bruno by far ni zaidi ya Bernado.
Ukija ukabaji
1.tackle
Bruno 1.6 average
Silva ni 1.1
2. Interception
Bruno ni 0.8
Silva 0.7
3. Clearence
Bruno 1
Silva 0.1
Hata kwenye ukabaji by far bruno ni mchezaji mzuri.
Tumalizie na usambazaji upendo
1. Idadi ya pasi kwa mechi average
Bruno 55
Silva 40
2. Pass accuracy
Bruno 75%
Silva 90%
3. Crosses
Bruno 1
Silva 0.5
Katika vigezo 11 hapo juu bruno kashinda 10 na silva kimoja tu, bado tu unaaamini silva ni zaidi ya fernandez?
Naweka na source usije ukadhani nimetoa kichwani
https://www.whoscored.com/Players/123761/History/Bruno-Fernandes
https://www.whoscored.com/Players/136741/History/Bernardo-Silva
I am very optimistic,I agree with you.Bissaka mechi ya kwanza yenyewe ya palace hakuwa fit na hajacheza amecheza mechi 2 tu.