Chong ni mchezaji Ole alipaswa kumtrain aongeze physicality tu.anafunga akiwa wapi?
huyu dogo wa Jana at least anaonyesha mwanga na umri wake mdg ule half yy Ni multifunctional uwanjani tofaut na Chong. Chong uchezaji wake unahitaji alishiwe kila kitu, anatumia mguu wa kushoto lakin hawezi kuutumia anakua mzito sana, pale Hamna future
Bundesliga kwani hao watoto tuliowasajili wanatoka ligi gani ?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yupo leage gani?
swali gumuBut yote kwa yote unawezaje kutumia miezi 3 kutafuta mchezaji wa miaka 18 ambaye hajacheza kwenye senior timu hata mara moja ?
Tuwe wakweli usajili huu tumefanya vichekesho hasa kwenye eneo ambalo tulihitaji mchezaji kwa lazima halafu tunaenda kukusanya watoto wa shule ?Maandalizi ya kuchukua kombe U23 [emoji3]
teh teh tehMaandalizi ya kuchukua kombe U23 [emoji3]
Cavani ni PSG top scorer of all times,,
Cavani ni top scorer world class...
Hajifunzi bali ana experience..
Martial hana sifa za centre forward.. Martial ni attacker,, left wing..
Labda huyo ole azinguwe..lakini kocha kama morinho ,,diego simion haumizi kichwa kumchaguwa cavani over martial..
teh teh teh
si tulishuka daraja
Inasikitisha sana 3 months tunatafuta watoto wa shule halafu tunamwacha kwa mkopo huku tukiwa hatujaziba pengo ambalo liko dhahiri ?swali gumu
Ukiachana na De gea, kwani Henderson unamuonaje?.Hivi man u haihitaji kipa kweli?
Na hili ameshaprove several times kwamba hawezi kufanya transfer.Man Utd kwanini hawakujaribu kumsajili Suarezi?
Siamini kama wangekuwa serious Liverpool connection ingezuia asisajiliwe.
Point ninayoona hapa ni kuwa United kila kitu wanafanya kidharura, United chini ya Sports Director Ed Woodward ni majanga kwenye transfer business
Huyu jamaa simkubali hata kidogo.Masmilliano Allegry ndiyo kocha pekee aliyeko sokoni anayeweza kuifundisha united na kuipa mafanikio.
Ameprove katika vilabu viwili vikubwa duniani kuwa he is capable of doing the job.
Tatizo lililopo United usajili unaofanywa na Bodi hata kama kocha angekuwa na cv kubwa kiasi gani hawezi kufanikiwa kwa sababu hatapewa mahitaji wanayoyataka.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Na hili ameshaprove several times kwamba hawezi kufanya transfer.
Naamini hata Donny aliyefanya usajili ni Van De Sar
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndiyo kocha pekee ambaye hana timu mwenye makombeHuyu jamaa simkubali hata kidogo.
Kwa sababu kama Van De Sar angeweka counter offer united wangekuwa bado hawajasajili midfielder.Ndio hivyo
Unaambiwa Van De Sar alimpigia Simu Ole, kwamba VDB yupo tayari kujiunga nao, akawaambia na dau ambalo Ajax wapo tayari kupokea (leave it or take it)
United akamsajili within a week
Nafahamu mkuu, ni vile mpira wake huwa siuelewi.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndiyo kocha pekee ambaye hana timu mwenye makombe
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kule tunahitaji mchezaji ambaye ameshaprove kucheza siyo anayetokea academy.
Sasa tulimuondoa Chong wa nini kama tunasajili mchezaji mwenye umri mdogo kuliko hata yule tuliyemuondoa ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hajacheza senior timu huo uwezo mkubwa mnauona wapi ?Traore ana uwezo mkubwa kuliko Chongy ila tulipaswa kusajili established winger na sio one for the future