Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapa tumekosa mtu mwingine mbadala wa Sancho ndiyo tunaenda kuokoteza watoto ?

Mbona Riadh Mahrez anaozea bench pale Man city ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini Ole hakuwaza kama wewe wakati dili la Sancho lishakufa?
 
Scouting ikifanya kazi yake nayo shida..tukitoa £120m kwa Sancho nayo shida..

All in All,Ole inabidi asimamishe timu,no more excuses..otherwise aombe kujiuzulu kama kweli anaipenda hii klabu.
Hao watoto wangesajiliwa mwezi mmoja uliopita hakuna mtu angepiga kelele hapa.

Kilichofanyika hapa ni kujivua lawama tu baada ya kushindwa kusajili wachezaji sahihi kwa wakati huu.

Kwanza hao watoto haitatokea wamweke bench Greenwood upande wa kulia never

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Scouting ikifanya kazi yake nayo shida..tukitoa £120m kwa Sancho nayo shida..

All in All,Ole inabidi asimamishe timu,no more excuses..otherwise aombe kujiuzulu kama kweli anaipenda hii klabu.

Mkuu ni kweli solskjaer anatakiwa kukaza sasa watu anao halafu sancho kwa upande wangu mi naona hata kama hajaja fresh tu pesa jamaa wanataka nyingi sana
 
Mkuu ni kweli solskjaer anatakiwa kukaza sasa watu anao halafu sancho kwa upande wangu mi naona hata kama hajaja fresh tu pesa jamaa wanataka nyingi sana
Angalau wangeleta mchezaji mwingine ambaye ni proven player upande wa kulia siyo kununua watoto wasiojulikana.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ole aliamini united wataweza kumsajili Sancho.

Kifupi Bodi imemwangusha tena mwalimu.

Let's wait for his sacking .

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
'lets wait for his sacking'

Ila OGS uwa kuna sometym ananifurahisha somtym ananikwaza, yaani yupo up and down ila naona wachezaji wanaimani nae, kina bruno, de gea wakifanyiwa interview uwa wanamsifia
 
kwa sababu unatetea matumizi mabaya ya muda aliyoyafanya Judge.
tulikuwa tunawasubiria dortmund wapunguze bei halafu pia hatukutegemea ya kwamba klabu itaanza vibaya.
Kuna right wingers wengi tu ambao tungeweza kuwapata mfano Mahrez au Kingsley Coman
mahrez ingeliwia vigumua sana kupata saini yake kutokana na mazingira ya timu zetu mbili.

ishu ya coman niliongelea zamani sana, bayern hawakuwa tayari kumruhusu kuondoka (perisic na coutinho hawakuwa wachezaji wao) hivyo bado Walihitaji kuwa na depth squad na si kundi kubwa la wachezaji.

gnabry + coman + sane + douglas costa​
 
Wangemsajili hata David Brooks wa Bournemouth siyo hawa watoto wasiojulikana.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…