Hiyo ni kweli but angalau kutakuwa na pressure kutoka kwa mchezaji kutaka kuondokaIshu ni mkataba. Harry wont come any cheap. Ana mkataba mrefu bado na ameshajiestablish as a top striker. Kama akifosi kuondoka spurs lazima wakukamue...
Mfano upi?Mkuu Bavaria mie nakuunga mikono na miguu kwenye hii kampeni yako ya #Oleout ingawa huisemi moja kwa moja bali unajaribu kuwaonyesha watu kwa mifano kabisa.
Yes wote at the age of 34 wakati na kwa mishahara mikubwa hii United kuna tatizo kubwa sanacavani na ighalo?
Well then ni nyinyi man u mnaomsifia bissaka kua anajua kupiga tackle kuliko beki yeyote.Ila Mustafi na Maguire wanaongoza kwa TACKLES kitu ambacho ni clear sign ya careless defender.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hili dili heri life kuliko kununua mgonjwa kuja kwenye ligi ngumu kama epl
Kwahiyo unatoa £300M kwa ajili ya Kane?Kane ni moja ya wwshambuliaji wakali waliopo sokoni ukiachana na kina Babu Cavan. Kane ni hit kweli kiukweli!
Dembele yule majeruhi au yupi?Nimeona mahala kuwa dembele amekubali kujiunga na united kwa mkopo na litakuwa kama dili la coutinho kwa bayern,inakuaje tunamhitaji tena sarr?
halafu wakala wake ameramba takribani euro millioni 10Yes wote at the age of 34 wakati na kwa mishahara mikubwa hii United kuna tatizo kubwa sana
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Sijawahi kutamani Sancho aje united.
ni yeyeeeDembele yule majeruhi au yupi?
Inanikumbusha wa mafungu Wenger alivyowanunua deadline day baada ya kupigwa 8-2 na man utdkuna possibilities ya kusajili wachezaji watano
Halafu hana nidhamu. Kuchelewa kuja mazoezini na anakuja huku kalewa kwake ni kawaida.Hili dili heri life kuliko kununua mgonjwa kuja kwenye ligi ngumu kama epl
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Binafsi nimeshuhudia games chache sana ambazo tumeshinda kwa ushawishi wa kucheza mpira mzuri na wa mipango,tofauti na hapo tumekuwa tukipata bahati zaidi kuliko weledi wa kocha.Mfano upi?
Niligundua ubovu wa Ole msimu uliopita.
Mchezo anaoucheza ni mbaya kuliko hata enzi za Mou.
Wachezaji ukiwaona wamepungua viwango kuliko maelezo.
Msimu uliopita Bruno aliibeba United mgongoni, tukasema angekuja toka mwanzo wa msimu tungeongea habari za kubeba kombe.
Ghafla msimu huu amekuwa kimeo, akaletwa VDB.
Kumkosa Sancho isiwe sababu ya sisi kufanya vibaya hivi.
Kocha mwenye uwezo lazima awe na mbinu mbadala kucheza bila kutegemea RW.
Bissaka leo ameonekana mbovu, kwahiyo anatakiwa aletwe mwingine kuziba nafasi yake.
Lindelof alocheza vizuri wakati wa Mou, leo anaonekana mbovu. Anatakiwa aje mwingine wa ku-pair vizuri na Maguire.
Unamuuza namba 9 mzuri kama Lukaku, tena unajiamini kabisa kuwa Martial anatosha. Leo kiko wapi?
Rashford amebaki kulamba midomo tu. Chief-Mkwawa anakwambia bado jamaa ni 'mtoto'.
Lingard alicheza vizuri wakati wa Mou, leo hii unaambiwa hafai.
Nadhani ni mimi peke angu ndo naona Man Utd tunacheza mpira mbaya sana. Vipasi vya kijingajinga tunapiga.
Eti leo tunasherekea kuja kwa kizee kama Cavan, wapi Ighalo? Ole ameshindwa mtumia? Au hafit kwenye mfumo?
Ole ana mfumo? Miaka nenda rudi anatumia mfumo uleule kila siku na unamshinda. Hana game plan.
Hata wakija makocha 100. Kama kocha hafai aoneshwe pa kutokea.
Au tuandamane mashabiki waondoke Glazers na Ed wao ndo timu ianze upya. Otherwise, tufukuze tu makocha mpaka yule atakaeweza tumia resources alizonazo.
Kumsajili Dembele ni matumizi mabaya ya pesa aiseeHalafu hana nidhamu. Kuchelewa kuja mazoezini na anakuja huku kalewa kwake ni kawaida.
Injury prone... Kama Sane tu nahisi Bayern wanashangaa mwili wa glass wa Sane, tayari karudi majeruhi tena.
Ndio yeye mkuuDembele yule majeruhi au yupi?
Huu ni wizi halafu aje awe deadwood duh.halafu wakala wake ameramba takribani euro millioni 10
richest clubs in the world ...Man utd ni ya 3, everton ni ya 19..Yeah Timu ndogo iliotumia zaidi ya Pound milioni 500,
Everton ukitoa Man Utd, Chelsea na Man City ametumia hela nyingi kushinda yoyote pale Epl, amewazidi Hadi Arsenal na Spurs. Mmiliki wao ana pesa ndefu.