Katika ligi iko hivi.Una Kipepe unasema una straika nzuri ??😎😎😎
muda huu tumeangukia kwa ismail sarr kutoka wattford, tunamuhitaji kwa mkopo ila watford wanahitaji biashara ya jumlaNa kuweka kumbukumbu sawa,karibia kila press na media Ole anatuhakikishia anaridhika na kikosi alichonacho na management inamsapoti.
Nimeona mahala kuwa dembele amekubali kujiunga na united kwa mkopo na litakuwa kama dili la coutinho kwa bayern,inakuaje tunamhitaji tena sarr?muda huu tumeangukia kwa ismail sarr kutoka wattford, tunamuhitaji kwa mkopo ila watford wanahitaji biashara ya jumla
PTER
Hakika 3 weeks ago Man united wangeweza kupata mchezaji yoyote wanayemtaka bila wasi wasi wowote leo hii yamebaki masaa tumejikuta tunasajili mzee mmoja na mtoto wa shule????Angelikuwa na sifa za mourinho basi ndani ya siku chache zijazo tungelifahamu ukweli uliopo, kama ulivyosema tunapaswa tusubiri muda utupe ukweli uliopo.
option pekee iliobaki ni osmane dembele, barcelona wanatia presha ya kutaka kutuuzia kwa bei ya jumla na si kwa mkopo hii ni kwa sababu wanajua fika tuna uhitaji wa winga wa kulia.
tukijiingiza ovyo wanaturamba.
Maguire is uncoacheableCo kweli PTER Maguire co beki mbaya ni anakosa coaching nzr.
Maguire ni sawa tu na Shrkodan Mustafi.Co kweli PTER Maguire co beki mbaya ni anakosa coaching nzr.
Kwani Sancho siyo mwingereza?Wayne aache ujinga.
Anampigia debe muingereza mwenzake.
Mzee usimfananishe Mustafi na maguire. Mustafi is far superior defensevely kuliko huyo jamaa. Compare Player Stats, Comparison Tool | Premier LeagueMaguire ni sawa tu na Shrkodan Mustafi.
Tackles nyingi kwa sababu wanafanya makosa mengi uwanjani
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ni rahisi zaidi kumnunua Harry Kane kuliko hata Jack Grealish cause Kane alishasema anataka kuhama Spurs.Kane ni moja ya wwshambuliaji wakali waliopo sokoni ukiachana na kina Babu Cavan. Kane ni hit kweli kiukweli!
Leo atanunuliwa mchezaji yeyote aliyeko sokoni ili kujivua lawama tu.muda huu tumeangukia kwa ismail sarr kutoka wattford, tunamuhitaji kwa mkopo ila watford wanahitaji biashara ya jumla
PTER
teh tehLeo atanunuliwa mchezaji yeyote aliyeko sokoni ili kujivua lawama tu.
January nilishangaa sana united kwenda kumnunua Ighalo tu
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ila Mustafi na Maguire wanaongoza kwa TACKLES kitu ambacho ni clear sign ya careless defender.Mzee usimfananishe Mustafi na maguire. Mustafi is far superior defensevely kuliko huyo jamaa. Compare Player Stats, Comparison Tool | Premier League
Msimu uliopita (sikumbuki sawasawa) Virgil akiwa anahesabiwa beki bora alimzidi Mustafi clearance tu.
teh teh tehLeo atanunuliwa mchezaji yeyote aliyeko sokoni ili kujivua lawama tu.
Ishu ni mkataba. Harry wont come any cheap. Ana mkataba mrefu bado na ameshajiestablish as a top striker. Kama akifosi kuondoka spurs lazima wakukamue...Ni rahisi zaidi kumnunua Harry Kane kuliko hata Jack Grealish cause Kane alishasema anataka kuhama Spurs.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Wanajua United wanapesa za kuchezea hivyo kwa vyovyote vile watatoa tu.teh teh teh
na wanavyoifahamu shida yetu.
kila tunapokwenda tunaambiwa tulipie jumla na si mkopo
cavani na ighalo?Wanajua United wanapesa za kuchezea hivyo kwa vyovyote vile watatoa tu.
Tulikuwa tunaondoa deadwoods sasa hivi tumeongeza deadwoods mbili tena
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app