Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu inacheza vizuri hadi sasa. Ila ni muhimu kupata ushindi.
 
Hakuna cha Inzi wala Belo ...... . . . khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee Mfarisayo anafanya maombi na Eqllypzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz Invisible kajichimbia kwenye FB ngebe zote kwishnei ... ..... ... Belinda ndio kabisa humuoni hata Mentor ing I d i o t s na Peas of ants hawatatokea leo phew!
 
Leteni matokeo jamani wengine tunafuatilia tennis hapa Nadal anafanya vitu vyake .... ....
 

Nitamwita Benteke sasa.....naona fujo zinazidi.
 
Timu ipo vizuri...ila creativity inahitajika zaidi katika midfield.
 
Well done rooney ilikuwa game ngumu kwake ila amecheza kwa ukomavu wa hali ya juu na amenonesha kiwango chake
 
Timu ipo vizuri...ila creativity inahitajika zaidi katika midfield.

Wacha pumba mmezoea ku-park bus, lini mlijifunza kutandaza soka. Kazi wanayoijua Manure ni ushoga zaidi na leo wauza unga ndio kwanza wamepark ikalus kumba kumba chijui mtapita wapi. Fungie alichukua brown envelopes zote kabla hajaondoka khe khe khe khe khe khe khe eeeeeeeeeeeeeeeee Leteni matokeo jamani khe khe khe keh khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Karibuni muangalie mazoezi ya Gunners kesho pale Emirates khe khe khe khe ke keh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mtajijuu.


BTW kwa masikitiko makubwa nitakuwa sipo jukwaani hadi mechi ikiisha msilete fujo zenu tu ..... ..... muangalie soka jinsi linavyochezwa sio la kubahatisha na kutegemea ngawira.
 

Kweli. Tumezoea kupaki basi mpaka basi likawa na ghorofa 20; nini ikalus sijui...
 

Attachments

  • 4c3d882fb6e2b78543841d37aaa83771.jpg
    51.7 KB · Views: 94

Wewe si size yetu size yako Spurs ,mshamrudisha Flamoney
 

Wanaopaki basi ni hawa:
 

Attachments

  • 042ba236e521137ab29b2dfe79d83b70.jpg
    9.8 KB · Views: 313
Utakufa kwa presha kijana. Kwani Mourinho ni nani wa dunia hii? Tulimchakaza 2008 makombe yote mawili, la Ligi na UEFA Champions akiwa na timu hii hii aliyo nayo sasa. He knows the Red Devils
CC, Belo, Wacha1, Ngongo, Manda, TCleverly



Wewe pamoja na hao wote waliokupa "like" ni aidha wazushi wakubwa au upeo wenu na ufahamu wa mambo ya soka ni kidogo sana. Jose Mourinho aliondoka Chelsea September 2007 muda mfupi tu baada ya draw ya 1-1 na Rosenborg BK kwenye hatua za makundi za UEFA Champions League. Sasa hiyo 2008 unayosema ni Mourinho yupi hasa? Tujuze ndugu yetu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…