Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Itamuwa jambo zuri mkuu
 
"Many of the Man Utd players need a good slap right now."

Patrice Evra, man of the people


manutd

[Sky Sports]
 
Kushinda big game kunahitaji tactical brilliance ya kocha maana wachezaji wa timu zote 2 wanakuwa wamezidiana uwezo kwa asilimia ndogo sana....Ole amefeli kilasiku unaona tu anaingia na 4-2-3-1 kilasiku karibu asilimia 89% ya game zetu anacheza mfumo huo na hata kutwist wachezaji hawezi kikosi kinatabirika kwa urahisi ......

lawama ya leo anahusika, tena asubuhi tu nikacomment humu kuwa DJ na bissaka viwango vimeshuka sababu ya kocha sasa ongezea na Maguire na soon bruno, wote wamekuwa wakawaida kwamaana kocha hana kitu kipya cha kuwaongezea
 
★Giants huwa wanakufa siku moja bana Shoutout
kwao
nikapige na Faru John kwanza
Mwnchester city 5
Manchester united 6
Liverpool 6 ...... mpira unaendelea

Liverpool wamekata umeme kitaa chatu
 
Umemaliza mkuu.

Afukuzwe fasta. Hatuwezi kumfukuza ole tukamuacha magwaya
 
★Shaw: "A club like MU should not be losing in this way and it is kind of embarrassing. We have let a lot of people down today, we have let ourselves down." ★

#GGMU



manutd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…