So unataka kumlaumu nani pale PTER ukianza lawama utaonekana hujui mpira mkuu nakuheshimu sn, tm nzima leo ilifeli baada ya controversial red card ss uta mjudge nani mkuu.
Tatizo PTER anataka tuamini kwamba Bailly hafai kuanza mbele ya Linderlof anasahau kwenye mpira mambo km haya huwa yanatokea hata barca alijichanganya tm ikafa akapigwa 8, so inatokea hyo japo cc mashabiki tunamlaumu kocha uwezo wake mdg cz tm haichezi vyema.
Cavani sio mtu anayetegemea cross pekee ndo afungue, atafit sana kwenye mfumo wa kocha kwa sababu ni finisher mzuri kila angle anayokaa kwa upande wangu mimi, mfumo wowote pale man u unaohitaji huduma ya no9 cavani anafit
Kitu ambacho hawajajua wenzangu au mm ndio sijui nilikiona muda mrefu sana bruno fernandez alikuwa akicheza vizur sana na timu ilikuwa sawa kipindi pogba anaumwa lakin aliporudi tu kila kitu kikaanza kuwa hovyo ina maana pogba na bruno kucheza kwa wakat mmoja haiwezekani lazima mmoja akae bench