Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilikuwa nawauliza wanaomtetea martial ambao juzi hapa walisema hatuna mtu, tumeleta na wanaweka maneno
Nadhani hao ni haters wa cavani,..bila shaka wanajuwa fika shughuli yake..
Sidhani kama tungemchukuwa striker yeyote ambaye sio mkubwa kama cavani kama wangeongea chochote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…