GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,380
Hao jamaa hawaondoki hivi karibuni.Bodi imetuangusha mno glazers woodward must go
Kila siku tetesi tu...wakikubaliana na mchezaji ,,wanapanga kushindwa kutoa dau kwa timu husika,,Bodi imetuangusha mno glazers woodward must go
Hoping that one day SAF will come back for atleast single season no way out.
Unaweka Martial kikosiniMechi hizo OLe akipanga hiki kikosi asubuh tuu tunaongoza hilo group.
De gea
AWB. Maguire. Upemecano. Telles.
Bruno Matic Vdb
Sancho. Cavan Martial
Subs: Henderson, Baily, Shaw, Pogba, Fred, Rashford, Greenwood
NB: niko naota.
I said uamuzi wowote wa kumuuza Dalot utakuwa uzwazwa of highest order. Bado tuna serious defending problems upande wa kulia. Bisaka bado siyo mzuri kupanda na kushuka, ni mzito na ana poor timing, urefu pekee ndo mtaji. Dalot aaminiwe acheze RW wing ikitokea hatukusajili. Martial apigwe bench, Greenwood na Rashid wafanye mbadilishano central role mmoja akitokea kushoto.Mimi naamini Diogo Dalot akicheza right wing anafanya vizuri kuliko kwenye defence.
After all anatumia miguu yote left na right hivyo anaweza kufunga kwenye near post na far post.
Dalot ameenda kwa mkopo usio kuwa na kipengele cha kuuzwa ..atadumaa akibaki bora aende millanI said uamuzi wowote wa kumuuza Dalot utakuwa uzwazwa of highest order. Bado tuna serious defending problems upande wa kulia. Bisaka bado siyo mzuri kupanda na kushuka, ni mzito na ana poor timing, urefu pekee ndo mtaji. Dalot aaminiwe acheze RW wing ikitokea hatukusajili. Martial apigwe bench, Greenwood na Rashid wafanye mbadilishano central role mmoja akitokea kushoto.
Ndio alipotoka huko huyo dogoDah, kama ni kweli Judge achukue huo mpunga fasta.
Aina yake ya uchezaji inamfaa sana Biesla
Bad ideaI said uamuzi wowote wa kumuuza Dalot utakuwa uzwazwa of highest order. Bado tuna serious defending problems upande wa kulia. Bisaka bado siyo mzuri kupanda na kushuka, ni mzito na ana poor timing, urefu pekee ndo mtaji. Dalot aaminiwe acheze RW wing ikitokea hatukusajili. Martial apigwe bench, Greenwood na Rashid wafanye mbadilishano central role mmoja akitokea kushoto.
Martial ni mkali sana akitokea kushoto...Unaweka Martial kikosini