Wacha uongo .... ... refa hawezi kukubali magoli ya Swans ..... .... yaani makelele yote ya mashoga ni kuifunga Swans kweli haka katimu naona mwaka huu katakoma maana mikong'oto itakuwa mingi.
Lakini huyo Dawood anaeleweka tangu zamani yupo kwenye pay roll, chacha Wacha kuzuga hapa. Bora niangalie Tennis chacha Rafa oops the king of Clay karibu anaingia ulingoni, ngoja huyo Del Potro aondoke..
BTW mwangalie refa wenu mliyempa mafungu achafue hali ya hewa Emirates.