Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Nakubaliana na ww hapa kwa 100%
 
Usajili wa buyern munich wa ajabu sana

Bayern Munich are reportedly in talks with Chelsea about taking winger Callum Hudson-Odoi on a season-long loan.

Latest football gossip
bbc.in/33nJTEi #bbcfootball #CFC
 
Neymar hana hatari yoyote sema ni machachari kuliko Mbappe.

Neymar hawezi kuwa threat kiasi cha kutisha kucheza nae kwanza anakabika na predictable sana.



Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Huangalii mpira wewe NEYMAR hatari zaidi ya mbappe yule jamaa sio mchezo anatengeneza nafasi za hatari anaanzisha mashambulizi kutokea chini kabisa hadi kwenye back four zenu, anawahamisha uwanja anavyotaka yeye kulia kushoto yumo. Unamchukuliaje mtu wa namna hiyo
 
Neymar hana hatari yoyote kuliko Mbappe

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Msimfananishe neymar na mbappe kwa wakati huu mimi timu yangu nitamchagua neymar kuliko mbappe..neymar kamzidi mbappe kwenye criteria nyingi jamaa ni mbunifu, versatile na ana skills nyingi kuliko mbappe , neymar ni playmaker mzuri sana katika dunia ya sasa nawahakikishia hilo na ni clinical finisher mzuri pia..attacking style yake ni bora zaidi hata ya huyo mbappe mnaomfananisha naye kwani neymar anauwezo mkubwa wa kuattack kutokea pande yeyote ya uwanja..
Angalieni vizuri na kwa utulivu jamaa anavyocheza then mtagundua vitu vingi ni hatari ukikutana nae huyu mtu anasumbua sana
 
Mkuu kwenye biashara pauni 8ml, ni hela ndefu.
Hata kwenye hali ya kawaida hiyo ni hela ndefu.

Wengi tunaumia kwann tulilipa hela kubwa vile kwa Maguire au bissaka.
Mi naona jamaa aendelee kukaza tuu.
 
Neymar siyo threat kuliko Mbappe.

Nakubali kwamba ni msumbufu sana but he can be pocketed vizuri tu.

Mbappe akiwepo uwanjani expect kufungwa goli at anytime .

Neymar anapoteza clear chance nyingi kuliko Mbappe.

Mbappe ana nguvu kuliko Neymar na anaspeed sawa sawa na Neymar.

Finishing Mbappe ni clinical zaidi.

Mbappe huifanya PSG icheze ikiwa balanced zaidi kuliko Neymar.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kila mtu anajua Neymar ni fundi ila linapokuja suala la kubeba timu huwezi kusema Neymar ni zaidi ya mbappe, mpira unachezwa hadharani kila mtu anaona mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…