Yeah lakini aliingia baada ya kuona tunashambuliwa sana upande wa kulia.Mbona dalot amechezeshwa winger mara nyingi tuu na OLE.
Msimu ule OLE anafika, hadi wadau wakawa wanasema "wenda tumepata RW sas".
Kama kumbukumbu zng ziko sawa mechi ya PSG dalot alicheza pia kama winger.
Unataka kocha gani aje?katunyima imani kwenye mechi ndogo tumpe imani kwenye mechi kubwa huu ni ujinga, kocha hamna pale tutafte kocha mwenye ufundi na mbinu za kutosha, mfano kikosi kilichocheza jana kimeonyesha angalau wana fight ushindi kuliko hyo first eleven yenyewe
Hahaha ndiyo yalikuwa mashindano yair ya kwanzaOGS kafundisha mechi 4 tu Champions league kafungwa 3 kashinda moja
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Kama United inataka kurudi top level, huwezi kumtegemea Dalot kama 1st team RW. Angalau kama back up.Yeah lakini aliingia baada ya kuona tunashambuliwa sana upande wa kulia.
Sasa kwanini wanahangaika kutafuta winger wa kulia wakati timu ina winger wa kulia tena mwenye attributes zote za winger?
Dalot ana pace, ball control nzuri, shooting, crossing, aggressive na anaweza kufunga pia.
Hili ni jambo linanishangaza sana kwamba kama utani hatimae tumebakiza siku tatu dirisha lifungwe Man united wamemsajili mtu mmoja tu tena kwa msaada wa Edwin Van De Sarhii timu ilioshindwa kusajili wachezaji kwa takribani miezi mitatu inapata wapi nguvu ya kusajili wachezaji wanne kwa siku tano
Hivi unajua Didier Drogba alikuwa center back?Kama United inataka kurudi top level, huwezi kumtegemea Dalot kama 1st team RW. Angalau kama back up.
Liverpool wana Sarah
Man City wana Mahrez,Bernardo.
Chelsea wana Ziyech
Spurs wana Son.
Halafu United wawe na Dalot ambae sizani kama ana assist hata 7, toka ameanza kucheza top level Football.
Ndio yale ya kumuuza Ronaldo then unamtegemea Valencia, Oberten wazibe pengo lake.
Anaweza kutupa positive impact ya kutufanya turidhike na Greenwood kuanzia benchi?Yeah lakini aliingia baada ya kuona tunashambuliwa sana upande wa kulia.
Sasa kwanini wanahangaika kutafuta winger wa kulia wakati timu ina winger wa kulia tena mwenye attributes zote za winger?
Dalot ana pace, ball control nzuri, shooting, crossing, aggressive na anaweza kufunga pia.
It is possible probably timu itakuwa stable sana upande wa kulia defensivelyAnaweza kutupa positive impact ya kutufanya turidhike na Greenwood kuanzia benchi?
Jana almost dakika zote alikuwa anacheza kwenye highline.Anaweza kutupa positive impact ya kutufanya turidhike na Greenwood kuanzia benchi?
Nilikuwa sifahamu mkuu.Hivi unajua Didier Drogba alikuwa center back?
ongezea:Hili ni jambo linanishangaza sana kwamba kama utani hatimae tumebakiza siku tatu dirisha lifungwe Man united wamemsajili mtu mmoja tu tena kwa msaada wa Edwin Van De Sar
Woodward kashindwa kusajili sasa au tunasubiri mpaka Woodward achomewe nyumba yake anunue winger ?Nilikuwa sifahamu mkuu.
Lakini hoja yangu iko pale pale United haitakiwi kumsubiri Dalot, a develop kuwa Top Class RW.
Hatuwezi kuacha kusajiri Rw eti kwa sababu Dalot ana attributes za kuwa RW mzuri.
Huo muda haupo kwenye timu kubwa.
yap mara nyingi sana alikuwa ana overlapping jambo lililopelekea kumpa uhuru mkubwa sana juan mata, uzuri zaidi eneo lake alikuwa analindwa na eric baillyIt is possible probably timu itakuwa stable sana upande wa kulia defensively
Jana almost dakika zote alikuwa anacheza kwenye highline.
Van De Beek kasajiliwa na Van De Sar siyo Woodward.ongezea:
baada ya madrid kusitisha mpango wao wa kusajili mchezaji msimu huu, usajili wa van de beek madrid walishafikia hatua nzuri sana ya kimazungumzo
Greenwood sio RW ni no 9Anaweza kutupa positive impact ya kutufanya turidhike na Greenwood kuanzia benchi?
Naamini akiwa fit, atapewa nafasi tuu,Woodward kashindwa kusajili sasa au tunasubiri mpaka Woodward achomewe nyumba yake anunue winger ?
Tutumie wachezaji waliopo kufanya majukumu hayo, Van Gaal alimconvert Young kuwa Full back Mourinho akamconvert Valencia kuwa Full back kwanini tusimconvert Dalot kufanya jukumu la right wing ambalo ukiondoa Greenwood ni yeye tu ndiyo anaweza kutumika kwa usahihi ?
Tunajua hilo..ila yeye ndo anayetokea kulia na amefanya vizuri kwa kiasi chake..na tusiposajili am sure yeye ndo ataendelea kuwa first choice kwenye hilo eneo kwenye mechi nyingi.
Imagine akiwa anacheza juu ya Wan Bissaka right wing yetu itakuwa stable na threat kuliko kushoto.yap mara nyingi sana alikuwa ana overlapping jambo lililopelekea kumpa uhuru mkubwa sana juan mata, uzuri zaidi eneo lake alikuwa analindwa na eric bailly