Safi kabisa Viper. Umefufukia wapi au ulikuwa umefichwa?ha ha ha...angalau EPL inaanza🙂)
Hahaha sijafichwa kivile jirani.. . Si unajua wengine ni ma vampire wa soccer wake me up when july ends...
Bwana mdogo michu leo naona kama atatuma salamu
Rooney ndani ya bench...
tujuzane wakuu huju kwetu umeme hakuna tangu mchana vp game limeanza au
Nachikia mashoga wamekula mkong'oto leo wote wameunyuti khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hakuna cha Inzi wala Belo ... .... ... Ngongo yeye keshatokomea madongo kwinama. ..... .... Fungie alisafisha ooops alichukua Brown envelopes zote chacha majuto Njukuuu! Ati Mfarisayo anajifanya anaangalia Golf phew! Since when?
tujuzane wakuu huju kwetu umeme hakuna tangu mchana vp game limeanza au