Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pep kauzu ile mbaya,kaingia tena sokoni kutafuta CB kwa £65m na wamedondokea kwa Diaz wa Benfica
 
MPAKA DIRISHA LIFUNGWE TUNAWEZA KUAMBULIA MCHEZAJI MMOJA AU TUKATOKA KAPA KABISA DAAAH SO SAD KIUKWELI...
 
Unaona sasa?

Bissaka si amekuja juzi tu? Leo tunasajili mbadala kisa ameshindwa kufit eneo hilo. Bruno nae akiwa flop? Tutamsajili mbadala? Pogba je?

Hapo kosa la nani mchezaji kuja akiwa mzuri na kuflop baada ya msimu mmoja?
 
Man Utd ina rundo la mascout dunia nzima.

Ina maana wote akili zao zimegota kwa Sancho?

Dunia nzima?, ligi zote tumekosa mbadala wa Sancho?

€100M ni hela nyingi sana kwa mchezaji mmoja ambaye atakuja kuwa sawa na wakina Martial na Rashford.

Hapa tunakuja kupigwa tena kama Maguire. Sancho hana hadhi ya kutolewa hiyo hela.
 
@manutd
Unaona sasa?

Bissaka si amekuja juzi tu? Leo tunasajili mbadala kisa ameshindwa kufit eneo hilo. Bruno nae akiwa flop? Tutamsajili mbadala? Pogba je?

Hapo kosa la nani mchezaji kuja akiwa mzuri na kuflop baada ya msimu mmoja?
 
★Kesho Brighton Hove Albion tunao tena sijui tutawapiga ngapi hawa jamaa duuh★
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…