Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu haijafanya preseason kwahiyo hali kama hii haiepukiki.

Man u tutakaa sawa mechi tatu zijazo
Ni tatizo la timu zote even Liverpool,City,Chelsea wakizoeana timu zao zita-improve

Tumecheza na Crystal Palace & Brighton tumeshafungwa magoli 5
 
Najiuliza sana genge gan lilikaa na kuwapa zile namba rashford 10 martial 9 greenwood 11 daaa
Aisee hapa ndipo tulipofikia ndugu. Namba za jezi hazina maana tena,watoto wanapewa tu manamba mazito yaliyowaelemea wanabaki kuvimba vichwa mwisho Wa siku uzito Wa vichwa unawaelemea!
 
Ni tatizo la timu zote even Liverpool,City,Chelsea wakizoeana timu zao zita-improve

Tumecheza na Crystal Palace & Brighton tumeshafungwa magoli 5
Ni kweli hali kama hii itabadilika soon labda litokee frustration kwenye timu.

Niliangalia mechi yetu na Crytal palace ni kama hakukuwa na nguvu za kupambana nao.

Dakika za mwisho kila mchezaji alikuwa exhausted sana.

But with time tutaimprove na tutaanza kucheza vizuri.

Hata Liverpool kwa mechi chache alizocheza wamefungwa magoli manne.

Na wao walikuwa na preseason ndefu kuliko sisi.
 
hapana Klop alivunja record ya Dunia ya Kipa, Alisson, record ya Dunia ya Beki VVD, na hela nyingi tu kwa keita, salah na Fabinho. ukumbuke weakness ya liverpool ilikuwa ni beki na kipa wamevunja record za dunia kukipa nguvu kikosi chao.

unaweza hesabu idadi ya wachezaji na kuwatetea wamiliki ila hilo nalo ukiingia deep utaona majority ya hao wachezaji hawakuwa top priority za makocha, timu ina mawinga 3 wa kushoto unaongezewa unaletewa wa 4 bila kuletewa winga hata mmoja wa kulia? kutakuwa na mafanikio?

nilishaleta evidence nyingi humu za ed kutaka kucopy madrid transfer system na kusajili galacticos huku aki ignore makocha wanachotaka, mfano kina falcao, di maria na wengineo enzi za lvg hawakuwa ni choice ya Kocha, na ikitokea kocha anataka mchezaji ambaye anafit philisophy za ed basi huyo mchezaji ndio atanunuliwa, mfano Bastian na Depay waliletwa sababu lvg aliwataka na vile vile wanaweza kuuza jezi (depay aliuza jezi kuliko Neymar na Bastian alikuwa hakosekani top 5) lakini wenye sura mbaya kama Muller na Robben Ed akachomoa.
 
Ni tatizo la timu zote even Liverpool,City,Chelsea wakizoeana timu zao zita-improve

Tumecheza na Crystal Palace & Brighton tumeshafungwa magoli 5
ukitoa city, hao wengine hawajacheza mechi za ulaya, walipata muda mrefu wa kupumzika na kuwa pamoja pre season, mwenzetu sisi ni wolves na city
 
Nilionyesha doubt na uwezo wa OGS since ile season amepewa timu (too predictable,poor game plan,sio flexible na he is not brave kufanya some decision) haya ninayoongea sio ya leo ni almost 2 years na sioni changes

Tuna-refers success ya OGS ni kumaliza nafasi ya 3 sidhani kama kuna kingine alichofanya but ukiondoa Liverpool & City timu nyingine zilikuwa mbovu mno ndio maana point 66 tukashika hiyo nafasi

Bruno ni mchezaji mzuri na bila yeye OGS huenda angeshafukuzwa but pia opponent bado walikuwa hawajamfahamu vizuri msimu huu hautakuwa mwepesi kwake,timu zimeshajua yeye ndio key players same situation ya Pogba baada ya kumjua siku hizi Pogba sio key players tena kwa United

Tuombe uzima I will remind you
 
Ukiondoa greenwood haoartial na rashford viwango vyao ni kama vimedumaa,bado Naamini hawakupaswa kuwa ktk level hii waliyopo sasa. Bruno kaja na kipaji cha hali ya juu kidogo kidogo ataanza kuwa mshenzi tu kama wengine tu, vile vile kwa DVDB
mkuu hayo ni maneno yako, umejuaje hizo mechi 36 zijazo bruno atacheza vibaya? na rashford na martial wamekuwa 20 goals strikers msimu uliopita, hizo ni achievement ambazo hawajazipata toka wazaliwe hio ni fact, huko kudumaa mimi sijakuona, na siwezi kutumia mechi 1 au 2 kutabiri msimu mzima. even martial amerudi kikosi cha ufaransa kilichojaa masuper star, huyo kocha wa ufaransa hajaona alivyodumaa?

j
 
vimeshuka msimu uliopita au hizi mechi 2?
 
Kwani hivi vitimu vidogo, vyenyewe vilifanya preseason ?!
Yes sisi tulipoteza almost two weeks tuko kwenye mashindano ya EUROPA.

Hivyo wachezaji wetu walipata muda mfupi wa kupumzika.

Wamepumzika kidogo wakaenda kwenye international games.

Hivyo United na Man city wamepata just two weeks za pre season.

Tofauti na timu zingine zote.
 
Msimu huu hakukuwa na muda mwingi huwezi ukasema timu zimefanya pre-season na sidhani kama kuna timu zilisafiri abroad au kucheza mechi za kirafiki zaidi ya mbili
mfano everton so far wameshacheza mechi 7, ni advantage kwao compare na sisi sijui mechi 3 au 4. tena tunacheza hio pre season yetu mechi 1 hakuna majority ya wachezaji kikosi cha kwanza, walicheza kina lingard, vdb, henderson etc

tunaanza mechi ya crystal palace ndio mechi ya kwanza kabisa kikosi chetu kinaanza pamoja.

kwa mtu kama pogba kushindwa hata kupiga pasi unafkiri ni kiwango kimeisha ama ni fitness tu?
 
na ndio tunachokipigia kelele humu kila siku, na ole tayari analijua hilo.
1. aje sancho ili tusiwe predictable, unapokuwa unatengeneza kushoto, kulia, katikati hata timu pinzani inakuwa ngumu kukamia.
2. usajili wa VDB pia unalenga kutoa plan B ikiwa plan A imeshindikana, na tumeanza kuona mfano mechi ya Palace.
 
Noted, hapo nimekuelewa kwahilo swala la International qualification.
 
its a do or die season for Ole safari hii maajabu hayawezi kutuokoa timu nyingi zipo vizuri uwezo wa kocha ndio utakaotupa msimu bora so ni kazi ya solskjaer kuonesha kama anambinu stahiki za kuifundisha mancheater united....

Kuna mkuu hapo juu anasema hajaona alichofanya Poch kumzidi Ole namkumbusha tu Poch alicheza final ya Uefa na kikosi ambacho hakijasajili misimu karibu 3
 
kwamba mkuu wachezaji kutolewa kwa mkopo ni jambo baya? hawa wa academy?
sio jambo baya ila mkuu unakumbuka solskjaer alisema nini kuhusu academy players pia kitu pekee ambacho kingempa Ole credit na angalau sisi kusema abaki mi endapo angetumia na madogo kwa kuwachanganya na experienced players....
.huko walikoenda hawaendi ongeza viwango zaidi ya kusaidia timu hizo ndogo refer timu aliyoenda Chong refer Dylam levitt hawatarudi wakiwa bora kwa maana hizo timu hazina wachezaji bora watapata tu playing time na si kuwa well trained tactically
 
Sasa Pogba ameshakuwa too average.

Kocha amekosa mbinu za kumtumia. Bruno nae akishakuwa kama Pogba tutahamia kwa VDB. Baada ya hapo?

Ila mpeleke Pogba Liverpool utaona majibu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…